@mtoch_clinic: #creatorsearchinsights #fypシ゚viral__ #mtoch_clinic #orthopedic #health

𝙈𝙩𝙤𝙘𝙝_𝙘𝙡𝙞𝙣𝙞𝙘🌿
𝙈𝙩𝙤𝙘𝙝_𝙘𝙡𝙞𝙣𝙞𝙘🌿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 10:28:05 GMT
196170
5126
187
482

Music

Download

Comments

fromyourcontacts999
People You May Know :
Anajibu maswali haraka haraka hivyo unasema haskii maumivuuu😅
2026-08-22 12:59:03
58
ziada_beautysalon4
ziada_beautysalon4 :
mi nawaombea m/mungu awalinde naawasaidie
2026-08-22 14:14:10
20
aiman1ne
SHIRIMA :
Mpo wap
2026-08-23 15:12:40
0
ibrakazembe7
ibrakazembe7 :
where are you
2026-08-23 16:59:16
0
mrceo618
SirBuba :
aaah hii inauma
2026-08-22 18:45:52
0
shia781227
Baide :
hoger san dactari
2026-08-22 17:54:48
0
alex.elias026
Alex Elias :
Mimi Niko iringa na siwezi safiri mnanisaidiaje
2026-08-23 18:17:24
1
husseinwema01
H W :
Safi sana
2026-08-23 17:50:30
0
kinendilefurniture
Ibrah. Kinendile furnitures :
mko wapi ninq shida, NJ inq maumivu makali sana kweny joint , naomba no zako tuwasiliane Zaid
2026-08-22 15:47:47
1
user9027567106265
user9027567106265 :
Naomba kuuliza Mimi Nina shida ya mgongo unauma sana hata nikienda hospitali wanasemaje pingili zimepishana napewa dawa nafanyishwa mazoezi lakini nakaa week 1,2 Naza Tena kuumwa sana naweza tibiwaaa Dr
2026-08-23 07:11:29
1
ashour7899
Ashour :
Mkowapi
2026-08-23 07:51:37
0
mamyto01
Mamyto :
mm naumwa na mgongo naweza kutibiwa
2026-08-23 09:53:59
0
sofia.ally806
Sofia Ally :
mm niliungwa vibaya mkono umepinda naweza nyoosha tena ukaludi huu mwaka wa pili
2026-08-22 19:56:54
1
zaitunimwimbe
Zaituni Mwimbe :
doctar unapatikana wapi
2026-08-23 08:15:38
1
mourish.ahmed
Mourish Ahmed :
Habari docta nahitaji namba yako tuzungumze
2026-08-22 19:27:23
0
jimyy.lenald.lena
Jimyy Lenald Lenald :
minatatizo la changamotoya mguu mnapatikana wapi na gharamazake inakuaje
2026-08-23 10:57:26
0
aishaomary468
aishaomary468 :
mimi nina shida ya magoti yamesagana nimeambiwa oparation je naweza kutibiwa
2026-08-23 17:46:05
0
1maryam__3
maryam💕🦋 :
Na kwa mtu ambae mguu wake unajaa eneo la kifundo kwenda chini vipi unatibu??
2026-08-22 19:36:55
1
dignatsha
dignatsha :
tunaomba no. za simu
2026-08-22 13:27:19
0
user5060616050985
yusuph m mmalala :
m nataka namba ya simu
2026-08-22 18:09:50
0
brother_hans.12
hans.12 :
Mim shida yangu n ta goti pia nilianguka na pikipki lakin sihis maumivu yyt ila tu huwa kuna muda nikiwa nacheza mpira linahama na linauma kwa muda kidogo na kurud kweny hali ya kawaida je? Naweza saidiwa DR.
2026-08-23 16:32:35
1
minnahchambo
Amneeh🦋❤️ :
Na mnatibu mkono ulo vunjika ukafungwa ukakaa vinaya yan kifundo kimehama
2026-08-22 17:46:58
3
artandsprotsnewstv1
i news :
mzee mm nilipata disloctn ya bega kila nikitembea nilashuka chin mhong unapind
2026-08-22 12:57:09
1
salmaalrawahy7
Salma Alrawahy :
habar kaka yang alianguka mkono ukavunjika kawekwa piopio haujaunga sasa akanda mloganzila wakamvunja upya ili mfupa uunge wakamuweka tena piopio pia bado haujaunga je unaweza kumsaidia kurudisha mfupa ukae sawa maana mkono kuna mda haufany kaz unamuuma
2026-08-22 20:46:04
1
ummily12
ummly😍 :
Amin Allaah Awabaroki
2026-08-22 19:18:30
1
To see more videos from user @mtoch_clinic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About