@255zack: Mbowe atinga uzinduzi JNHPP Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amekuwa miongoni mwa viongozi na watu mashuhuri waliofika kushuhudia tukio la kihistoria la uzinduzi wa Mradi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kinachozunduliwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan, wilayani Rufuji mkoani Pwani.
tu ategemea bei ya umeme kupungua kwa zaidi ya 50%
2026-08-22 11:26:20
0
grasshopper :
bora ipande zaidi bei ya umene
2026-08-22 15:23:49
0
Masoud :
kama kuna kitu cha kujutia kwa chadema basi ni kwa kumkosa huyu jamaa kwenye harakati za kupata serekali, wameacha mtu wa maana wameenda kuchukua chizi awaongoze yani hasara kweli na hawawezi kusimama tena kwenye mstari
2026-08-22 18:33:12
0
To see more videos from user @255zack, please go to the Tikwm
homepage.