@wananchiitv: Uzinduzi wa kihistoria wa Kituo cha Kufua Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) Agosti 22, 2026, Viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wameonekana wakiwa na nyuso za furaha na bashasha bwawani hapo pamoja na Makamu wa Rais, Dkt. Nchimbi. Je, ndugu Mtanzania unafuraha kutimia haya. Tupe maoni yako hapo kwenye comment….

Wananchi Tv
Wananchi Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 10:32:41 GMT
2643
52
1
2

Music

Download

Comments

mwajuma.mussa053
Mwajuma Mussa :
😳😳😳
2026-08-22 12:23:15
0
To see more videos from user @wananchiitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About