@ovide_tz: 💧 Mini Bottled Water Machine sasa inapatikana kwetu! Mashine hii ni suluhisho bora kwa ajili ya uzalishaji na ufungashaji wa maji ya chupa, ikiwa imeundwa kwa biashara zinazohitaji mfumo wa uzalishaji wenye ufanisi katika nafasi ndogo. ✅ Inafaa kwa uzalishaji wa maji ya chupa ✅ Huongeza ufanisi wa uzalishaji ✅ Hupunguza muda na nguvu kazi ✅ Muundo wa compact unaookoa nafasi ✅ Rahisi kutumia na ku-maintain ✅ Inafaa kwa biashara ndogo, za kati na miradi ya uzalishaji wa maji 📍 Tunapatikana Msasani, Dar es Salaam 📞 Mawasiliano: 0756 300 025 📩 Wasiliana nasi leo upate Mini Bottled Water Machine na uanze au panua biashara yako ya maji ya chupa!

ovide_tz
ovide_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 10:36:19 GMT
22313
463
20
64

Music

Download

Comments

user268638545611
user268638545611 :
do you have bread 🍞 machine
2026-09-10 20:22:01
1
media.capestang
Media Capestang :
boss munapatikana wapi? n'a inauzwa shilingi ngapi?
2026-09-11 11:17:26
1
selanyik
SELANYIKA :
Walio Soma Physical hii ndiyo simple machine😂
2026-09-10 12:37:20
2
blackarabian40
black Arabian el-flet :
bei Gani kiongozi
2026-08-30 10:19:55
2
kokulinda4
Koku Linda :
bei gani
2026-08-23 14:55:32
2
brother.shine6
Brother Shine :
being gani
2026-08-23 10:38:08
2
dasophiatz
Moja faster :
bei
2026-08-23 16:28:51
2
johnsambai905
KIBANIO :
NITUMIE
2026-08-22 13:08:27
2
ayubiensis
Ayubiensis :
full inauzwaje
2026-08-23 08:59:30
2
herbertnyambo
Nyambo :
Ni bei gani?
2026-08-24 12:44:50
2
user4554260359526
bhai wa usafi :
nataka kubwa ya hyoo
2026-08-26 06:48:55
2
drabuuzaid1
doctor abuu :
𝗨𝗻𝗮𝘂𝗹𝗶𝘇𝘄𝗮 𝗯𝗲𝗶 𝘄𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮🤣
2026-09-10 15:19:38
0
human_6842
Warrior :
Beigani
2026-08-24 09:01:13
2
samwel.moga5
Samwel Moga :
Bei gani kiongozi
2026-08-25 12:48:36
2
jagger7886
jagger :
😂😂😂
2026-09-09 08:20:15
0
To see more videos from user @ovide_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About