nakumbuk sku 1 aljarbishia kunkaba kwny kochi huku ananiulza maswali huku anapga pga bega nam nlkuwa sijibu na kesi ynywe jmn kosa ni lake kuntukana ovyo kweny mesej kila ikitokea sintofam nam uvumilivu ulinishinda nlianza kulalamika woii si akakasrka akasema tutakutana nyumban, ile kujarbishia kunpga niliumia moyo nkajikuta nalia tu ...sikumsemesha wiki nzima hata mesej sjibu kazin nawahi kwenda inshort nikawa ...akiniletea kitu chchte schukui .akaja kuniambia sasa mama angu tutaishi hivi had lini nisamehe mm ...nilkuja kumsamehe hat sjui ilkuwa wakat gan
2026-08-22 16:37:52
5
sasha :
Mimi leo ya hatuulizan ata salam tunapishana kama wapangaji walonuniana😁
2026-08-22 19:35:15
7
Rehema Owino :
nishagundua furaha yangu niwew😂😂😂😂😂😂
2026-08-22 11:05:28
10
habibty❤️ :
Mimi baada ya kupigwa vibao nimetoka kuambiwa mkewangu ww ndio kila kitu kwangu nimebakia na mshangao
2026-08-22 12:14:31
5
❤️wahyder❤️ :
Ndoa inauchawi na hapo kuna la raha fulan hv unakazoea alaf kutoka hutoki na kuisifia huwez😂
2026-08-22 18:55:43
4
🦋Aeim_kimmy backup. :
ach tu
2026-08-22 10:47:42
2
Witnes Boniphas :
me wangu kaniacha kisa nime chukuwa doral mia yake mpaka sahivi tuna karibia wiki hatu semeshani na ana nidai pesa yake😂😂😂
2026-08-23 13:15:30
0
Tunsuerick57 :
kwa kweli furaha yangu niwew my dear 🥰🥰🥰
2026-08-22 13:03:13
2
mamy luu :
Tena mtu atakuulizakwani Unaamua nn 😂😂
2026-08-22 13:31:32
0
🍒miss twinie🦋🦋🍒 :
kwishaa mom 😆😆😅
2026-08-22 20:10:23
1
user1474566162461 :
yani mm kila siku yani nachoka mie
2026-08-22 21:43:48
1
pretty esy :
Yaaan we acha iyo hali imetokea juzi🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 12:36:38
1
helen🥰 :
😂😂😂😂😂😂😂 kwa kina ndoa nyieee mpo single njoon mkutane na maajabu ya dunia
2026-08-22 20:14:00
1
zakia kutura :
nimesha jua Kuwa wey ndo furaha yangu tu kwakweli
2026-08-22 16:07:31
1
Kauthar Suleiman Kauthar Sulei :
sio mm anipge nimtzame tu
2026-08-23 18:22:38
0
honeyfah 🦋💕 :
ila🙌
2026-08-23 18:09:40
0
rebeccasanga445💄 :
ATA nikisamehe siwez kuwa Kama mwanzo ,
2026-08-23 19:20:36
0
Fatma sonko :
apo kwa vibao na kunifokea uyo si wangu labda wenu
2026-08-23 17:08:55
0
Meedah ♥️ :
jamani mwenye mchongo wa kazi yyte ya halali anipe 😄
2026-08-23 15:42:49
0
Erick's Daughter :
hatariiii 😆😆😆
2026-08-22 11:16:17
0
To see more videos from user @0fficialmam08, please go to the Tikwm
homepage.