@ovide_tz: 🔩 Nail Making Machine sasa inapatikana kwetu! Mashine hii imeundwa kwa ajili ya kutengeneza misumari kwa haraka, usahihi na ufanisi mkubwa, ikisaidia kuongeza uzalishaji na kupunguza gharama za nguvu kazi. ✅ Hutengeneza misumari kwa kasi na usahihi ✅ Huongeza uzalishaji na kuokoa muda ✅ Hupunguza utegemezi wa nguvu kazi ✅ Hutoa misumari yenye ukubwa na umbo unaofanana ✅ Rahisi kutumia na ku-maintain ✅ Muundo imara kwa matumizi ya muda mrefu ✅ Inafaa kwa biashara ndogo, za kati na viwanda vikubwa 📍 Tunapatikana Msasani, Dar es Salaam 📞 Mawasiliano: 0756 300 025 📩 Wasiliana nasi leo upate Nail Making Machine na uanze au panua biashara yako ya uzalishaji wa misumari!

ovide_tz
ovide_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 10:42:50 GMT
805
24
2
2

Music

Download

Comments

gidi.onjackson
Gidion Jackson :
bei gan kiongoz
2026-08-23 06:41:33
1
marym.aboubakar
Marym Aboubakar :
hii mashine ya nini ipo wspi?
2026-08-23 12:57:35
0
To see more videos from user @ovide_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About