@mwenye.nchi: JNHPP itafuata nyayo za uchumi wa gesi, Hadi sasa hivi mitambo yote haijawahi kuwashwa kwa sababu hatuna modes za kuusafirisha iwapo ukizalishwa wote, of which unafanya mradi uzalishe pungufu ya uwezo wake. kwanini Hawa jamaa hawakuwaza kuwa umeme huo wote utasafirishwaje kucover maeneo yote ambayo hayana umeme kama Mbozi na maeneo mengine badala ya kuzalisha tu pasipokujua hawatautumia wote??

MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: ZA
Saturday 22 August 2026 10:43:54 GMT
115266
3786
94
91

Music

Download

Comments

adammj268
Adam Mj :
Tunahangaika au tunajenga!??
2026-08-24 09:39:50
0
mchizi.to
Mchizi Ďòçtoŕ :
hii interview ipo wp
2026-08-24 04:51:56
0
thomasnn.mlimbila
Thomasnn Mlimbila :
tatizol letu waafrika huwa tunajifikiria kibinafsi sana.mradi huu ni maono ya miaka mingi mbele.si kwa ajili ya kizazi hiki tu.mashine zote ziwashwe sasa hivi ili iweje
2026-08-22 11:44:46
13
victoria.gl20
Victoria GL :
shabiby inabeba abiria 60 ikianza safari na abiria 42 Kuna ubaya gani?
2026-08-22 16:05:21
21
yusuphmpenja
engineer :
kukopa kwa zamu
2026-08-22 13:45:25
0
barakamajile
molongwe majile :
president
2026-08-22 16:49:49
1
dee_officially
𝐷𝑒𝑒_🦁 :
magu ndo aliharibu
2026-08-23 00:35:39
3
lazarokizzo
kizzo khan :
Nchi hii kila kiongozi hua anakuja na mipango yake ila hakuna mipango ya pamoja kama nchi kwamba kila kiongozi aendeleze mwenzie alipoishia
2026-08-22 13:09:05
6
255_off_tz
_off_255 :
kulipa nini tena wakati magufuli alisema tunajenga kwa pesa za ndani 🥺🥺🥺🥺🥺
2026-08-22 13:04:23
7
katwe43
katwe :
Mimi nalia na hiyo gas hivi hii ytu haifai kwa matumizi ya nyumbani? na km inafaa kwa nini tunanunua gas kwa bei ya juu? na km inafaa ila kuna mchakato ndio itumike kwa nini serikali haiufanyi huo mchakato ili tufaidike na rasilimali ytu? serikali inatumia fedha nyingi kulinda mazingira lkn ikiwa gas mtungi mdg itauzwa 12 au 15 na mkubwa 35 itasaidia sn kupoteza miti kwa ajili ya mkaa, naomba yyte anaejua kuhusu gas ytu anijb plse!
2026-08-22 15:20:15
2
mkbshb
Mike :
sidhani kama uko sahihi. kumbuka hii ni longterm investment. uzuri wa mradi huu ni kwamba uko standby so kustep up matumizi wakati uhitaji ukiongezeka inakua ni rahisi. its not a white elephant
2026-08-22 15:39:41
3
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
mda woote serikali ya ccm wanawanza kuiba hata sio maendeleo ya inch na wanainch
2026-08-22 11:42:02
3
sautiyamlima
Sauti ya Mlima :
lakini evacuation line ni rahisi kujenga. pengine shida ikue market
2026-08-23 23:24:20
0
fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Ila baadhi ya watu wa taifa hili 😭😭
2026-08-22 14:06:06
2
g.bert5
g.bert5 :
angekuepo Magufuli vyote vingewezekana hapa mnajisema mlibaki hai
2026-08-23 12:49:20
1
zakaria.salehe3
visit morogoro ♥️🇹🇿🇹🇿 :
uo mladi wa magufuli Sasa endeleen
2026-08-22 18:37:24
1
kiuretwabasi
kiuretwabasi :
Elewa!!hii nikama nyumba iliyojengwa inasubiri wapangaji,vyanzo vyamapato ni vingi!ishu ni urasimu#watuloko🇹🇿
2026-08-22 16:14:24
1
sfi1492
Ⓜ️S🅰️FI.... :
sio tunahangaika izo juhud za kujenga n kubwa kuliko kujenga nguzo za umeme kwenda dodoma
2026-08-22 19:05:20
1
manroon2
benward remmy :
hata magari yana speed 180 na zaid ila tanzania hatufikagi hzo speed sababu njia haziruhusu,sasa unataka kusema tusinunue magari kwa sababu hatuna barabara za speed 180?kila kitu kwa wakati i
2026-08-22 20:27:14
7
jaliwa.tv
JALIWA TV :
nawapata kabisa nikiwa jiji la dalesalamaa nielekezeni yutb munatumia jina gani naipenda kwizela yangu
2026-08-23 06:19:18
1
gabrielsarwatt259
Puttin :
Wanaofanya biashara ya gesi Wana ukaribu na vigogo wa Serikali,kuanza kutumia mitungi yetu maana yake biashara ya gesi ya nje imekwisha! Chuma tunacho,kutengeneza mitungi siyo habari, tatizo ni hao wafanyabishara wanasiasa
2026-08-22 15:58:23
1
kilimukulwa
Poncho :
gas ni yetu?ufafanuzi plzz?
2026-08-22 13:46:31
1
jumannemaulidi4
jumannemaulidi4 :
wakosoaji hawakosagi nahua wananikera sana kiukweli
2026-08-23 18:19:16
0
sagranjr
Sagranjr :
daaah
2026-08-23 17:55:14
0
bob.shebe5
BOB SHEBE :
munatujaza uwongo ili kukamilisha mipango yenu kama kudaralia
2026-08-23 16:42:08
0
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About