ndo maana wamelia sn kupewa DP WORLD wacpewe bandari na chadema ndo wanashirikiana sasa mbinu zao zipo wazi , Rais ana mengi moyon kwa kuchafuriwa
2026-08-22 19:42:50
4
user4281724700885 :
kuna siri kubwa sana ktk hili, mwenye sikio na asikie
2026-08-22 20:31:21
3
Mau Ame :
linajuulikana zamani mlisahau tuu kwa uongo wa kitima na chadema
2026-08-22 19:56:30
4
budd :
duu
2026-08-22 21:11:57
1
Rashid Salim :
siri imefichuka
2026-08-23 05:23:53
1
William Malangas :
hi
2026-08-22 17:47:20
0
user4170851374332 :
Wanayoyaficha kwenye mioyo yao ni makubwa zaidi
2026-08-23 12:59:00
3
255brazil :
Ok ok ok kumbe
2026-08-22 19:08:40
2
Ally Waziri :
wap kitima
2026-08-23 09:32:21
1
BOSI WA FAMILIA :
hiyo ndio sabab ya kukataa bandari wasipewe Dubai kuendesha
2026-08-23 04:57:14
5
jojo :
ndomaana kitima anaumia sana bandar kupewa muekezaj
2026-08-23 04:18:22
1
Hb omy :
siri zinafichuka xx
2026-08-23 04:53:46
1
yuzarsif0775 :
mh rais anayo mengi t ila kubobea kwa uongozi kwake ndio kaona anyamaze lkn huo apo ndo ukweli ola wasiojua wanafata mkumbo
2026-08-23 07:38:09
2
nyoka@@&&& :
Kitima anasikia hii sura yake anaiweka wp mana hii crip ni yazamani kdg
2026-08-23 07:52:30
1
Adam Mj :
Mungu anawaumbua ,wanajitangaza wenyewe
2026-08-23 17:38:15
0
Istambul :
dhulma mwisho wake ni mbaya saaaana
na dhulma haidum
2026-08-23 08:44:51
0
by Liko :
kanisa limesababisha matatizo nchi nyingi sana,ni vituo vya ujasusi na vimesaidia serikali nyingi kupata madaraka ya nchi kwa mikataba maalum ya maslahi,,anaedhania kanisa ni oparesheni za kimungu pole yake
2026-08-23 13:11:58
1
user8616579291181 :
tutakupa posho zako zote za ubalozi.chadema wasikie hayooo huo ni ugaidi.
2026-08-23 05:23:58
1
Adam Mj :
Ndio maana Masheikh wote walitoa tamko moja,Kanisa halijawqhi kuiacha nchi salama,,Rwanda Burundi,DRC,,,,
2026-08-23 17:40:32
0
To see more videos from user @zote_tamu1, please go to the Tikwm
homepage.