Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@jiaoxian22: #topi #topibaseball #topiolahraga #topijogging #kalcer
Jiao Xian
Open In TikTok:
Region: ID
Saturday 22 August 2026 11:23:31 GMT
1860799
2788
6
348
Music
Download
No Watermark .mp4 (
6.98MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
8.44MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
To see more videos from user @jiaoxian22, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Has anyone used Walter when my assignment question sounds too formal? I need it to feel easy to understand, not like aone scan and my essay looked sus 🧐 #walterwritesai #humanizer #aidetector #turnitin #plagiarismcheck full rewrite.
#MiniDrill #BrushlessDrill #CordlessDrill #PowerTools #DIYTools
MASOMO YA MISA, OKTOBA 9, 2026 SOMO LA 1 Gal 3:7-14 Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Ibrahimu. Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiri Ibrahimu habari njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa. Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani. Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati, ayafanye. Ni dhahiri ya kwamba hakuna mtu ahesabiwaye haki mbele za Mungu katika sheria; kwa sababu Mwenye haki ataishi kwa imani. Na torati haikuja kwa imani, bali, Ayatendaye hayo ataishi katika hayo. Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti; ili kwamba baraka ya Ibrahimu iwafikilie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani. Neno la Bwana………….Tumshukuru Mungu WIMBO WA KATIKATI Zab 111:1-6 (K) Alikumbuka agano lake milele. Aleluya Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote, Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano. Matendo ya Bwana ni makuu, Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo. Kazi yake ni heshima na adhama, Na haki yake yakaa milele. Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu; Bwana ni mwenye fadhili na rehema. Amewapa wamchao chakula; Atalikumbuka agano lake milele. Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake, Kwa kuwapa urithi wa mataifa. Aleluya, aleluya, Nena, Bwana, kwakuwa mtumishi wako anasikia: Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. Aleluya. INJILI Lk.11:15-26 Wengine wa makutano walisema, Atoa pepo kwa Beelzebuli, mkuu wa pepo. Wengine walimjaribu, wakitaka ishara itokayo mbinguni. Naye akajua mawazo yao, akawaambia. Kila ufalme uliofitinika wenyewe kwa wenyewe hufanyika ukiwa; na nyumba juu ya nyumba huanguka. Basi, ikiwa shetani naye amefitinika juu ya nafsi yake, ufalme wake utasimamaje? Kwa kuwa ninyi mnasema kwamba mimi natoa pepo kwa Beelzebuli. Basi, kama mimi nikitoa pepo kwa Beelzebuli, wana wenu je! Huwatoa kwa nani? Kwa sababu hiyo, hao ndio watakaowahukumu. Lakini, ikiwa mimi natoa pepo kwa kidole cha Mungu, basi ufalme wa Mungu umekwisha kuwajilia. Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha zake, alindapo nyumba yake, vitu vyake vi salama; lakini mtu mwenye nguvu kuliko yeye atakapomwendea na kumshinda, amnyang’anya silaha zake zote alizokuwa akizitegemea, na kuyagawanya mateka yake. Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; na mtu aliyekusanya pamoja nami hutawanya. Pepo mchafu amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika; asipoona, husema, Nitarudia nyumba yangu niliyotoka. Hata afikapo, akaiona imefagiwa na kupambwa, ndipo huenda akachukua pepo wengine saba, walio waovu kuliko yeye mwenyewe, wakaingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza. Neno la Bwana… Sifa kwako Ee Kristo.
#សុំ❤️ម្នាក់មួយមកok🙏❤️❤️
#ان_الله_وملائكته_يصلون_على_النبي #صلوا_على_رسول_الله #اللهم_صلي_على_نبينا_محمد #اللهم_صل_وسلم_على_نبينا_محمد #الجمعة
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy