@rashidngola: apo Barcelona wapo matizii iyooo,,,,, kama unapo lala pazuri mwambie mungu asante
sadali mizozo
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 11:45:23 GMT
Music
Download
Comments
Yunis Fred :
akalitupe
2026-09-08 12:15:01
0
halima g. :
ambae anawachikia hawa wadud kama mm gonga like hapo 😊😊
2026-09-02 17:24:03
71
*☆SAVAGE ICONE*🗨 :
ukilala kama upo motoni
2026-08-22 20:40:14
56
la congolaise 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
hehehehehehe
2026-09-07 21:42:38
0
Mwajuma shabani :
we mizozo analala mtu apo
2026-09-03 12:06:06
1
hamis sharo :
kuliko nilale apo ni bora ni lale jela😂😂😂
2026-09-03 11:45:42
7
Being Momo ❤❤ :
Nan kasisimka kama mimi🫣
2026-09-02 16:49:41
38
salrah_kizzy :
jaman iy kwel au edit mh
2026-09-08 09:50:42
0
sheyrah🥰 :
sijawakuwaona kuwa wengi kamahivi duuu
2026-08-25 20:18:58
17
baby.zuu :
adi mwili wangu unasisimuka
2026-09-02 18:31:07
9
Mophozn@_05_ :
niulize mm nitamwambiy balaa lao hao
2026-09-02 19:43:00
2
Van Wakishua :
jamn kwan kuna maandamano wap
2026-09-07 18:01:52
1
𝔐𝔞𝔰𝔥𝔞𝔩𝔩𝔞𝔥 🍁🍁 :
wakishua haelewi apooo
2026-09-03 20:11:18
3
mathw boy of Kilimanjaro :
debe moja shingap?
2026-08-23 06:09:34
4
Kulwa Kulwa :
wandangu au
2026-09-02 17:02:35
3
msukuma 🥰🖕 :
tunaowengi uongojamani
2026-08-28 07:11:51
2
Hemed ♪ :
oyaa mpaka chai akuna kulala
2026-08-29 17:41:28
1
Denis Max :
Apo nawaona wajomba mashangazi mama wadogo mabinamu . mashemji mababu na mabibi. bila kusahaun EX💔
2026-08-23 13:37:20
6
merry ngelera17@ :
uwiiiiii
2026-08-22 22:06:27
2
pablò vin🏀🎱🎮 :
ikifika tu usiku wewe zima taa huone moto😅😅😅
2026-08-22 11:56:13
3
Ketty🦚 :
wew had nmeogopa
2026-08-28 21:30:20
1
somba tz :
kikosi cha maangamizi hicho
2026-09-02 19:59:14
1
nuru :
kwani hao mnawauza 😂😂
2026-08-29 18:44:09
2
Juma Charles :
walio kimbilia kosoma moment tujuwane kwakulaik😃😃😃
2026-08-28 09:16:06
3
miss mbarali💋🔥🔥 :
hii husababishwa na Nini jamani
2026-09-03 23:51:31
0
To see more videos from user @rashidngola, please go to the Tikwm
homepage.