@maedehkarimi_1:

maedehkarimi1
maedehkarimi1
Open In TikTok:
Region: SE
Saturday 22 August 2026 11:48:34 GMT
5
3
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @maedehkarimi_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

🥗 MPANGO WA LISHE KWA ACID REFLUX (KIUNGULIA) ✅ KANUNI YA 1: Chakula kisichochochea asidi 📌 Vyakula vyepesi visivyochoma tumbo 🍚 Ugali wa dona 🥔 Viazi vilivyochemshwa 🌽 Mahindi ya kuchemsha 🌾 Ulezi 🌾 Mtama 🍌 Ndizi za kupikwa ✅ KANUNI YA 2: Protini nyepesi kwa tumbo 📌 Hushibisha bila kuongeza asidi 🐟 Samaki wa kuchemsha 🥚 Mayai ya kuchemsha 🫘 Maharage yaliyochemshwa vizuri 🌱 Kunde 🌱 Dengu ✅ KANUNI YA 3: Mboga zisizo na muwasho 📌 Husaidia mmeng’enyo bila kiungulia 🥬 Mchicha 🥬 Matembele 🥬 Kisamvu 🎃 Boga 🥕 Karoti zilizochemshwa ✅ KANUNI YA 4: Njia salama za upishi 📌 Haziongezi mafuta wala muwasho 🔥 Kuchemsha 🔥 Kupika kwa mvuke 🔥 Kuoka bila mafuta mengi 🚫 Bila pilipili 🚫 Bila viungo vikali ✅ KANUNI YA 5: Mtindo sahihi wa kula 📌 Hupunguza shinikizo tumboni ⏰ Kula kwa ratiba 🍽️ Milo midogo midogo 🐢 Kula taratibu 🌙 Epuka kula usiku sana 💧 Kunywa maji ya uvuguvugu 🚫 VITU VINAVYOPASWA KUEPUKWA ❌ KANUNI YA 6: Vyakula vinavyoongeza asidi 🥤 Soda ☕ Kahawa 🍵 Chai nzito 🍺 Pombe 🥤 Vinywaji vya gesi ❌ KANUNI YA 7: Vyakula vinavyolemea mmeng’enyo 🍟 Chipsi 🍗 Kuku wa kukaanga 🥩 Nyama yenye mafuta mengi 🍔 Fast food 🍎🍌 MATUNDA MAZURI KWA ACID REFLUX (KIUNGULIA) 📌 Haya ni matunda yasiyoongeza asidi na husaidia kutuliza tumbo: ✅ Matunda salama 🍎 Tufaha (apple) – bora likiwa limeiva 🍐 Pea 🥭 Papai (pawpaw) 🍉 Tikiti maji (kiasi kidogo) 🍈 Tikiti maji ya kijani (honeydew) Tango  🍑 Peaches (zilizoiva) ❌ KANUNI YA 8: Mitindo mibaya ya maisha 🛌 Kulala mara baada ya kula 🍽️ Kula chakula kingi kwa mara moja 👖 Kuvaa nguo zinazobana tumbo 😟 Msongo wa mawazo 😴 Kukosa usingizi 📌 KUMBUKA: Lishe sahihi ni hatua ya kwanza, lakini acid reflux sugu huhitaji ushauri wa kitaalamu. 📩 Wasiliana nami kwa ushauri wa kina wa kiafya 📞 Dkt. Gea – 0696 256 671#sorethroats #foryoupage #acidraflux #FORYOUPAGE #viralreelschallenge2025viralreelschallengejaiviralreelschallengeviralr

About