ambao we don't need people to survive hii haituhusu! mifumo yetu ndo muhm
2026-08-22 21:51:55
31
Duka la sweta(ladies_clothes4) :
Ata kwenda kumuongelea vibaya aliyekuunganisha pahali ata itokee nini usikubali kumzunguka aliyekushika mkono 😊👏Asante mwalim
2026-08-22 12:29:33
44
Ankali Movies :
asante
2026-08-24 11:43:28
1
Yvonne Respicus :
unijibu
mimi nilikua namweheshimu vizuri tu akanitaka kimapenz nikakataa sababu ni mme wa mtu baada ya apo wakanifukuza kazini
2026-08-22 12:18:17
10
humble.me🌹 :
ata kupita video bila kulike nayo ni hatari sana
2026-08-22 14:32:25
18
user5088781342918 :
respect bro waambie kuna upande wa pili👍
2026-08-23 09:27:49
6
mumy boy :
jamn unasauti nzur😋
2026-08-23 19:48:09
0
🛍. Curating the best for you :
Ni kweli mwaya kidawa
2026-08-22 14:15:34
0
Mallys :
Exactly 💯
2026-08-23 15:46:03
1
MUSTAFA JEI :
Asante kk
2026-08-25 06:42:39
0
Leodgar Massawe :
Kweli bro ,pia kukaa mbali na mtu unaye mheshimu pia inasaidia sana.
2026-08-24 14:26:53
1
DUCHY👑 :
Kweli kabisa yani , Funzo kubwa sana
2026-08-22 16:10:15
4
Ashakidoti ✨️ :
Ndugu yangu binadamu hawatabiriki eti mimi nina ushuhuda 😀 mtu anakutambulisha mahali unapata kazi vizuri ghafla yule aliekuunganisha anageuka tena kuwa adui yako pasipo kujua umekosea wapi,
2026-08-24 11:17:21
1
Queen Ray😘😘 :
siku zote unaongea point sana Bro
2026-08-24 00:03:30
1
Real Kazuvi :
#2 🫡🫡🫡🫡
2026-08-23 20:31:15
0
Suheila :
voo
2026-08-22 12:50:57
0
penina :
big point usisahau malaika alie kuonyesha njia🙏🙏
2026-08-23 14:39:56
1
Isagro Shining Star :
kazi. nzuri utafute mwenyewe japo ni vigumu sana kuishi na watu
2026-08-22 16:18:39
1
Yasinta Kisholi :
me nae kuna vitu siwezi acha kisa watu watanichukia
2026-08-23 08:40:10
0
king 👑 :
UJAWAHI onge pumba ... nakukubal san teach 💯💯...
2026-08-23 07:07:17
0
Mariam Kakwaya :
sahihi
2026-08-25 11:16:17
0
luty wangu :
asant sana kwa darsa lako🙏
2026-08-25 11:29:46
0
BARAKA IBELE Paul :
Uwakika
2026-08-23 11:59:12
0
V'ctorious lady✨ :
sahihi
2026-08-22 12:59:54
0
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm
homepage.