@global.ventures.tz: ‼️NEW UPDATE‼️ Tutakuwa na Session ya LIVE VISA APPLICATION. Na tutaanza na VISA YA CANADA ambapo tutafanya application on spot kwa watu watakaojisajili the exact the same day🇨🇦 So utakuja na Documents na taarifa zote za muhimu ambazo tutakuelekeza, kisha tutafanya Application hiyo pamoja siku hiyohiyo hapa Ofisini kwetu. 📌Nafasi ni watu 10 tu. Na gharama ya kujisajili ni TZS 150,000/= . So instead of paying high amoung for VISA Facilitation, only $60 is enough. CALL TO REGISTER 📞0696303898 📍Victoria House, Makumbusho, Dar es Salaam #moveabroad #migrationtips #canadavisa #liveapplication

global ventures Tz
global ventures Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 12:03:57 GMT
16948
1028
58
61

Music

Download

Comments

haruna.mousse
Haruna Mousse :
namipiya natamani niwemiyongoni yawatunatawo wezakusafirisha pli
2026-09-01 14:51:06
0
mayyar6775
Mayyar677 :
nilikuja wakasema mpo kwenye ujenzi
2026-09-01 10:36:05
1
samiya.hajji
Samiya Hajji :
me nataka kenda kanada
2026-08-22 12:55:35
1
athanas.lilandima5
ATHANAS LILANDIMA :
hiyo gharama yake sasa si milioni 10 kweri maana serbia au polandi unaambiwa milion 5
2026-09-06 17:45:09
2
user495814811912
cute🫰 :
shida mnataka tuje ofisini wengne tuko far away
2026-08-24 19:19:27
2
user42811161808334
Neyp❤️🇹🇿❤️ :
nakuja dada,count me in
2026-08-27 19:51:38
0
dadbarbie
bbm :
bei gn kumaliza kila kitu
2026-08-25 04:49:30
1
user75985209262076
user75985209262076 :
please sister i need job
2026-09-29 17:38:40
0
quandolanga
Quando Langa :
Na mm bc
2026-09-10 13:02:26
0
user5774798439771
clé du Ciel :
shi ngapi visa ya canada
2026-09-16 07:55:45
0
angelmsangi42
Angel Msangi :
nahitaji kwenda canada
2026-08-23 13:05:37
1
dulla.mkbl
dulla mkbl :
dada miko tayali kwenda kanad
2026-09-09 20:00:21
0
victoriaselemani6
Victoria Selemani :
dada nataka kazi jamani
2026-09-28 15:09:35
0
babrah...3714
Babrah...3714 :
simu zenyewe hawapokei
2026-08-26 19:10:34
0
joyce.mashaury
Joyce Mashaury :
me natamani sana shda kingereza ndo sikijui vizuri
2026-09-22 17:16:41
0
judyilomo
Judy :
mwezi wa tisa tumeshachelewa
2026-09-30 14:23:40
0
8613308015597reh1
Francine🇨🇩🇨🇳 Rehema🇨🇩 :
Je nita pata passiport ya Congo hapo Tanzania
2026-08-22 13:17:37
0
user9615776305500
pedestrian :
Wanaleta zarau jibuni watu Wana shida
2026-09-05 06:18:43
0
princezakaria23
princezakaria591 :
dada nasaidie na pendaga sana canada Niko na passeport
2026-09-04 23:27:00
1
benelyimojaiva248
Bene lyimo Jaiva :
nafasi bado zipo dada mm ninataka kazi
2026-10-07 09:06:24
0
adeherself70
Adelina💝 :
Mpo sehem gan?
2026-09-06 14:28:04
0
boy4mcanada
BOY_FROM_CANADA🇨🇦 :
ofisi zipo wap
2026-09-03 14:01:58
0
lacptan
Lucasi Mustafa208 :
iyo Visa shingap
2026-09-09 15:40:56
0
kalajohn1
Baraka health care :
interested
2026-09-02 16:16:31
0
onlgod8
That girl✨️🤍 :
ninatada visa na kazi pia
2026-08-22 16:42:17
0
To see more videos from user @global.ventures.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About