@mrsmartgamestz: HAPO KAPATA MOJA TU😂😂😂😂#tanzaniantiktok🇹🇿 #mrsmart😎 #creatorsearchinsights #gaming #ps5games

MR SMART GAMES TZ😎
MR SMART GAMES TZ😎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 12:22:26 GMT
19838
825
22
72

Music

Download

Comments

a.p.m492
A.p.m :
Bora uni Funge 3 kwa 2 kuliko 3 0 😂
2026-08-23 10:21:31
3
nyagah_01
Nyagah_01 :
Nani mwingine alijua itaisha ivi 😅😅😅
2026-08-23 11:41:55
2
emmamwaki2
Emma Mwaki :
Uyu ni mm mtupu 😂😂😂💪💪💪
2026-08-22 12:54:26
2
user9570167157150
No risk No story :
Me Mwenyewe tu nikifungwa hata goli 100 ila furaha yangu ni kutoa GG😂😂😂
2026-08-22 15:17:58
2
me.chawa.wa.captai
Black Eagle 🦅 :
ila GG si imetoa anko😅😅😅
2026-08-23 11:34:45
0
obamas196
OBAMA'S :
live p5 iyo
2026-08-22 12:55:12
1
kinyama26
kinyama26 :
Hao ni Manchester United
2026-08-22 14:36:03
0
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu
2026-08-22 12:54:29
1
side1hz8
Side1Hz🇹🇿🛣️ :
Wanaongeaga kichiz hao😂 afu anamalizia na we huniwezi
2026-08-22 12:53:19
0
beny.tz255
MkuAyo Tz :
@Akim Nasson 😂😂
2026-08-22 19:45:08
1
rashneyra.ez
Rashneyra Ez :
😁
2026-08-22 20:39:02
0
To see more videos from user @mrsmartgamestz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About