@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amegusia Baadhi ya Wanaume Ambao Wamekua Wakitumia Muda Mwingi Kukaa Katika Vioo Kujipamba Na Kwa Bahati Mbaya Kuna Wengine Wamefika Hatua Mbaya Wamekua Wanatumia Vipodozi Kubadilisha Ngozi Jamii ya Sasa imekua Na Baadhi ya Wanaume Wa Aina hiyo Ambao Muda Mwingi Wanatumia Kutaka Wapendeze Kwa Kutumia Muda Mwingi Kujipamba Dkt Sheikh Abdulrazak Amewasistizia Baadhi ya Wanaume Si Vyema Ukiwa Kama Mume Kufanya Mambo Ambayo Si Sahii ikiwepo Kufanya Mambo Ambayo Baadhi ya Wanawake Wamekua Wakifanya
dah dunia iko mwisho hii, wanaume tuwe makini na vitu vya kuiga tunaingizwa kwenye mifumo tusiyo ijua
2026-08-23 08:49:38
0
Msindima,💞🤍 :
sehehe watz tuna unafuu we hawawanawake wa nchi zakiarabu kwanza hawatulii majumbanimwao kujipodoa masamatatu Hadi matano nasafalizisizokiwa zamsingi kwetu kunaunafuu Alhamdulillh 🤲 usafikwo mwiko Siku 7 ndipo aonge hadiunashangawew🥹
2026-08-22 15:41:31
1
Said Kassimu :
🥰🥰🥰
2026-08-22 13:33:46
1
Kaka star :
🥰🥰
2026-08-23 03:35:07
0
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm
homepage.