@shigaka_luxury: .. SAFARI ZA KILA SIKU SHIGAKA LUXURY. GEITA - DAR-ES-SALAAM DAR-ES-SALAAM - GEITA Nauli Yetu: TZS. 90,000/= GEITA - DSM: Safari inaanza saa saba kamili mchana. DSM - GEITA: Safari zetu zinaanza saa sita kamili mchana kutokea pale Tiptop Manzese na Mbezi Magufuli kutoka Saa saba kamili mchana safari inaanza. Huduma kwa Wateja: GEITA: ☎️0794828282 DAR: ☎️0796 555 958 ...................................... SAFARI ZA KHM-DAR, DAR-KHM KILA SIKU. KHM - DAR DAR - KHM Nauli Yetu: TZs: 85,000/= ........ Bus ya Kwanza: Saa nane Kamili Mchana. Bus ya Pili: Saa kumi kamili Jioni. Bus ya Tatu: Saa kumi na mbili Jioni. NB: Ratiba hii ni kwa kutoka Dar-es-Salaam kwenda Kahama na kutoka Kahama kwenda Dar-es-Salaam. , Huduma kwa Wateja: ☎️Kahama Office. 0742510010 0742510020 ☎️Dar-es-Salaam Office. 0747510010 0796 555 958 ................ Kata ticket yako mapema sana kwa kutembelea www.shigaka.co.tz kupata online ticket Bila usumbufu wowote na ukiwa mahali popote pale.. Lakini pia unaweza kukata ticket yako online ukiwa mahali popote pale na kupata ticket yako au unaweza download app ya busbora play store/App store. ..... Book Ticket Online. www.shigaka.co.tz Shigaka Luxury We Say "YOUR DESTINATION OUR INSPIRATION " #GeitaNiShigaka #KahamaNiShigaka #ShigakaLuxury #YourDestinationOurInspiration #PrideOfKahama