acheni ubaguzi, character yenu ni nzuri sana ila weakness ni ubaguzi
2026-08-23 05:14:28
15
Lina Asenga :
acha kupotosha watu brother kilimanjaro ni moja
2026-08-22 21:13:49
18
noela laurent :
kibosho bwana 🔥
2026-08-22 20:40:44
11
Herbalist Judy🌿🧿 :
Marangu nduweni tusalimiane hapa🥰🥰
2026-08-23 08:45:00
10
Daniel Kimario :
wooooow
2026-08-24 12:17:49
1
Elizabeth Mosha :
wamarangu 👋
2026-08-23 09:52:51
8
Mam maxx 123,,, :
wachagg wa marang tujuanee
2026-08-22 22:56:35
8
Paul Kavishe :
Rombo je?
2026-08-24 08:17:48
2
Hans blickx :
acha kuaminisha jamii habar ambayo sio ya kwel
hakuna ukwel unaothibitisha kuwa wachaga original ni wamarangu apan wachaga ni jamii ambayo ilitengenzwa na mangi ambao ni viongoz wa jamii ya wachaga mfano ni mangi sina mangi meli na ukifitilia san vizur wachaga walikuws na serikal viongoz na mwish dollah yao hivy bas usipotoshe jamii
2026-08-23 08:25:14
5
Arnold :
natafuta mke mmarangu
2026-08-23 20:12:10
1
Neystore Vyombo :
Marangu mtoni🥰
2026-08-23 07:36:39
5
Yanga Bingwa :
Saw saw mkenda tujuane from marang
2026-08-24 18:49:59
1
Jackie hardware❤️ :
Safii🙏🙏
2026-08-23 10:06:59
1
Eva :
😂😂 tunaanza kubaguana😂😂😂😂😂
2026-08-24 21:23:29
1
Queen Josephe :
wako safi
2026-08-23 16:18:37
1
ESTHER COLLECTION :
km wachagga tumefikia hapa tena jamani tumeanza kubaguana haya sawa😂😂
2026-08-23 16:07:14
3
user1365373371960 :
Nilikuwa sijui kama mm ni origino
2026-08-24 09:23:31
2
To see more videos from user @papi_jitu, please go to the Tikwm
homepage.