@bongoplustv: #issatambuu anaulizia kuwa #dottomagari anaenda kama nani kule miaka 30 ya bongo fleva, Na Kusema kuwa #dottomagari ni mtu wa utani muda WOTE ndomana sidhani kama Kuna UGOMVI katai ya DUDU BAYA na DOTTO MAGARI amesema ISSA TAMBUU Full interview video tumekuwekea YouTube channel ya bongo plus tv kuitazama zaidi
BongoPlustv
Region: GB
Saturday 22 August 2026 15:15:06 GMT
Music
Download
Comments
Trainer jr. :
Wangapi wanasubiri come back ya dotto
2026-08-23 09:18:06
28
razack iddy mavere :
doto ni brand lazma aende Kwan wakina Irene,jack, Aunt wanaenda kama kina nan
2026-08-22 17:49:03
14
Annie's :
ila issa tambourine utaniuwaaaa jmn 😂
2026-08-22 17:47:52
8
Mozedigital :
Dotto ni shabiki wa bongo fleva wa wakati ule
2026-08-22 17:29:36
17
nasra salim :
doto is tayping
2026-08-23 06:46:32
1
saramura :
hatumtaki
2026-08-24 06:25:32
1
Ibrah msimbazi :
hili swali nilijiuliza sana dotto kaenda kama nani? hata wale wakina uwoya nao wameenda kama nani
2026-08-23 08:48:26
6
janethjonathan :
issa akicheka me hoi 😂
2026-08-23 06:55:18
1
Remigi freemon :
nikweli dotto kaenda kama nani Yani miaka 30 ya bongo flavor dotto atumjui kabisa Yani 🤣🤣😂
2026-08-22 22:59:58
4
kevoo :
ficheni dotto asione hii😂😂
2026-08-23 10:15:43
1
Hussein tz🇹🇿 :
video queen
2026-08-23 03:52:48
1
MTAWALA :
yakwamba video queen 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-23 09:25:13
4
jimson nyasi :
achaa usimchokoze
2026-08-23 02:26:46
3
G maphone Dodoma📲☎️ :
2026-08-23 21:02:10
1
MECK :
2026-08-22 21:29:18
1
taa :
wanamuacha dazp mwalim wa temba na nature wamemuacha wanamchukua doto magar
2026-08-22 21:35:09
4
Its-s🤍👒 :
2026-08-23 11:46:58
1
Elinass :
Nikweli kabisa broo
2026-08-22 17:16:04
1
CUNNWSIT :
2026-08-23 19:47:00
0
jerrysantos320 :
doto mkali sana
2026-09-21 08:59:51
0
Meek :
hahahahahahahaha
2026-08-23 07:34:59
2
𝗔𝗠𝗠𝗬 STUDIO ARUSHA :
2026-08-23 21:57:30
1
EDSON MUHAYA_OG :
doto ni mtu wa content anaenda kokote
2026-08-24 03:53:50
0
SAIMON :
haha
2026-08-22 20:51:03
0
To see more videos from user @bongoplustv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.