@goatofpower: #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #mozambique🇲🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #congolaise🇨🇩🇨🇬

CHIEF MALLAM BACKUP
CHIEF MALLAM BACKUP
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 15:24:34 GMT
71382
3374
160
166

Music

Download

Comments

moms.ar6
Ashmoms @COSMETICS 😘 :
mhhh mimi ninavy mbn natesk tuu mie aaah
2026-08-22 17:09:10
0
sweetpolina26
polina :
let me try
2026-08-22 17:24:32
0
harmorady
@harmorady-tz. 🇹🇿🇸🇴🇰🇪 :
ila bongooo😂😂😂 🙌🙌🙌 bora me nipo online sipo bongo😂
2026-08-22 16:35:33
13
bahati29112
BAHATI 🌹🍎🫂 :
no Yako Chief
2026-08-22 16:58:02
0
victoriacassian42
love me❤️❤️ :
Asante Kwa kunimalizia bando lang na kunifundisha uchaw
2026-08-22 18:12:17
3
faxhaa8
faxhaa :
mwenzen alama ninaz na hata sijui kama kwetu kuna mizimu
2026-08-22 17:51:05
3
mussakitotonahod
mussa :
Niko na alama mbili lakin Sina ata mia😂😂😂
2026-08-22 16:41:50
14
aryanshanny
🫧nanah🫧 :
Sina hata kimoja 😂😂🙌
2026-08-22 17:08:49
3
user7042383167850
Grady benny🦋🦋 :
Mim naamin huwa nikiomba chochot napata
2026-08-22 17:39:13
2
user254dreamboat
Chef Simba 254👩‍🍳🍽️ :
niko na alama zote izo ila sina ata senti kumi😂🤣
2026-08-22 17:40:25
2
user7081860051548
doto miyonga :
sisi wenyevidot kichwani
2026-08-22 16:30:17
2
catherinetz49
🌾🌿cty Outfit🛍👡👠 :
ninavyo vyote ila sasa kila nikipiga atua naludi nyuma
2026-08-22 17:45:54
1
mulale45
ASTUCE ÉLEC :
iyi ni kwa wa tanzania tuh!! ama na kwa sisis wa Congo 🇨🇩 ?!😂
2026-08-22 17:14:55
2
leilatibu
leilatibu1 :
nimeambiwa ni na mizimu lakini cn at rob yana kazi yakunikaba2
2026-08-22 18:13:57
0
ibrakhimnkind
YP Rom'$ :
mimi ni kama mkimbizi , kwetu mkoa mwingne na kwa sas nipo mkoa mwingne , kesho unaweza ukaniona mkoa mwingne tena. kwaiy inawezekan popote ulipo ??
2026-08-22 17:34:52
0
mabutsi7
mabutsi :
kwel unawez
2026-08-22 16:15:59
0
mjafengajanjajanja
Mjafenga :
mbona nina kila kitu apo na mambo bado magumu tu ase
2026-08-22 17:35:40
0
official.lizzy
official Lizzy💕 :
Mimi na M mikono yote
2026-08-22 16:47:45
0
123hadija
khadja salim.... :
shukrani
2026-08-22 16:29:56
0
barackjoseph225
Mr..Tondee :
kweli
2026-08-22 15:33:11
0
safeeyahcobra
__.SaFeeyah🍁🦢🍯 :
Mizimu ya kwetu inajua kunitesa nikilala nyoka wananitambaa naweweseka vby mno😞💔🙌
2026-08-22 17:21:44
4
suleiman.magoa
MAGOA TIBA ASILIA :
nakubali goat
2026-08-22 15:54:39
3
sonia.dangote
Sonia dangote :
naogopa mizimu takufa
2026-08-22 16:17:36
3
mungupekee01
Soul Nzurii ❤️ :
ngoja niende kwetu nikajalibu hii kitu lbd nitatoba maana alama kalibia zote ninazo
2026-08-22 17:20:08
2
elite_elitex8
𐌴𐍰𐌹𐍄𐌴-𐍇 :
alama zote ninazo kasoro hio ya kidoti 🫩
2026-08-22 16:35:18
0
To see more videos from user @goatofpower, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About