@abry734: Unaitwa ukafanye kazi moja unakuta kuna kazi kumi na moja uzifanye wewe😂😂😂😂 Je umewahi kutana na changamoto kama hii kwenye kazi? #oman🇴🇲 #tanzania🇹🇿 #foryoupage @Brother_ yassir 🇴🇲🇹🇿

Ibrahim Al Abry🇴🇲🇹🇿
Ibrahim Al Abry🇴🇲🇹🇿
Open In TikTok:
Region: DE
Saturday 22 August 2026 15:43:03 GMT
19556
1362
154
160

Music

Download

Comments

aljamaa7
Aljamaa7 🧕 :
😅😅😅😅huyo ndio mwarabu bhana
2026-08-22 17:35:17
13
yasfaty
yasfaty,🇹🇿✈️🇴🇲 :
na Cheka kama mazoli Oman oyeeee nkaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 17:08:46
10
laka2734
laka :
oman 😂😂😂😂 wanaona km mtuu huchoki vile
2026-08-22 16:11:13
14
ayush4410
Aysha Bint Rashid :
Nakumbukaa walikuwa wananambia nikwee mitende,,,, sina hamu Na Oman 🤣🤣🤣
2026-08-22 18:55:24
2
bint_talib_alnahdy
بنت النهدي811 :
Nusu shaghala 😹
2026-08-22 16:42:58
7
najma5056
najma :
Wakikutowa nyumbani wanakutajia kazi mmoja t ila ukifika hukundoutajuwa ulikuwa hujuwi wanakuongezea kazi na hususan ukiwa unakaa hapo hapo kwake🤣
2026-08-22 17:24:25
4
da10954
subira ni ngao :
kwa kweli huku hakuna kaz moja
2026-08-22 15:57:28
5
habibarasheed71
BibahR :
dah😁
2026-08-22 16:07:45
1
swaumu.abedi
SWAUMU ABEDI :
ila hawa watu mungu anawaona nimalize huu mkataba niende kwetu khaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 18:36:56
2
leila.shaban8
Leila Shaban :
🤣🤣🤣🤣aiseeeeee nimeipendaaaaà bureeeee tujuane tulioko Oman🤣
2026-08-22 18:00:46
2
user5717437220568
user5717437220568 :
nimecheka
2026-08-22 16:00:03
1
rahim.ramsey1
Rahim ramsey :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😂 jaman oman air inaitwa
2026-08-22 17:29:33
0
user56659218586261
Tiffah🎀 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn umejuwa kunichekesha
2026-08-22 20:56:40
0
dawarda8
DA WARDA💕 :
da ww hapa donimetoka yani da wanaona hatuchok
2026-08-22 17:54:07
1
officialradhia26
Ridhaa_theboss👑🔥✨ :
😂😂😂jmniii
2026-08-22 19:42:54
0
mustafa60731
hawa othmani :
hatari subrah tu uwe nayo
2026-08-22 18:37:01
0
khadijaahmed7646
khadijaahmed7646 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂oiiiiii
2026-08-22 20:48:46
0
abdaty.mudy
@Abdaty $ mudy :
Nimecheka😂😂😂
2026-08-22 19:01:39
0
afroseky
SINGOMAZA :
😂😂 na hv mpemba
2026-08-22 21:03:54
0
To see more videos from user @abry734, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About