da jaman 2wenamiyo yaurum tuta urizwa mwish na2taripwa
2026-08-22 18:02:29
2
OMMY NR :
subuhanallah daaaahh m/mungu atujalie tuwe na mwisho mwema 🙏
2026-08-22 18:41:42
1
Hami_dagaa :
watu makatili sana Allaah tujarie mwisho mwema Amiin
2026-08-22 18:43:06
1
Msomali :
Eeh Allah akbar nijalie mwish mwema jmn alie usik ap mung amlaani mpk kufa kwake😭😭😭😭😭😭
2026-08-22 18:42:38
1
naah pretty :
eeh mungu mwenye haki hii ni ww pekee 2ssmeh ss
2026-08-22 17:51:04
3
@mimah make up pemba :
Allah tujalie mwisho mwema ila hakuna hukm ya kumuua binaadamu mwenzako Leo una mua yeye kesho una kufa ww au wkt huo huo una kufa ww utaend kujb mbele ya Allah 😭😭
2026-08-22 18:13:44
1
To see more videos from user @masamakibrand, please go to the Tikwm
homepage.