@bongo_media: Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia, Mzee Said Kibore, ambaye alikuwa mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, amefariki dunia. Hadi sasa, chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika. Taarifa zaidi kuhusu sababu ya kifo na mazingira ya umauti wake zinaendelea kufuatiliwa na zitatolewa pindi zitakapopatikana. Bongo Media inatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wasanii na wote walioguswa na msiba huo. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
BONGO MEDIA
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 16:29:28 GMT
Music
Download
Comments
Emma official :
hii tiktok siwezi tamani kutrend.
2026-08-23 05:36:41
116
ABIGAEL_JEPTOO :
rest in peace kibore
2026-08-23 05:16:15
1
Favoured Nurse 🇸🇪 🇰🇪 :
ooh no 😭😢mzee wetu huwezi tuacha jamani 😢 😭 😢 After trending. Rip 🕊 🙏🏾 💔
2026-08-24 11:25:40
1
Gracy :
what happened to this man aki
2026-08-23 06:19:38
15
Daniedanson :
rest in peace mzee
2026-08-24 17:40:57
0
Tabs :
Aii ama hii story ya mapenzi aliweka kwaroho 😭
2026-08-22 21:04:00
73
Mitchelle ephy :
na hyo wimbo ilikuwa yake ama 😭😭😭
2026-08-22 21:17:07
23
Miss thele🌹🌹🌹 :
i don't understand why walai alikuwa moyo I😭😭😭😭😭that's why Kuma wimbo imetokea cjamskia inanimate sana
2026-08-23 15:31:34
0
khakhei :
😭😭😭😭may his soul rip
2026-08-23 03:19:56
0
Wangila :
kwani iko serious..
2026-08-23 05:04:36
11
maryjames222 :
rest in peace 🕊️
2026-08-24 16:11:45
0
Janenifah :
kwani alikuwa anaugua? poleni sana🇹🇿 wote
2026-08-23 06:23:03
14
🪖Minah 🧢 :
taarifa kamili mkipata mtanishtua maan hii nchi kwa kujiamulia mambo🙌R.I.P Mzee kibore kama kweli pumzika kwa Amani baba🤦
2026-08-22 16:46:06
45
MZAE🚛🚛🚛 :
Heartbreak 💔
2026-08-23 15:41:03
0
Emanuel Darashi :
mi ziamini kwamba ni kweli
2026-08-22 20:04:47
9
jd💕 :
😭😭😭rip haki woooyie this world jameni enyewe we live once
2026-08-22 21:11:34
5
Nuru :
poleni sana watanzania wote
2026-08-22 20:00:14
5
harmony❤️🔥 :
woi mungu wetu me hata nilikuwa nadhani anaimba hivo kimchezo tu kumbe ilikuwa serious
2026-08-23 06:15:37
5
Himdat Dumila Yunus :
watu zamani ati walijua ni Ai kumbe ni yy Allah amuekee pema peponi
2026-08-22 19:28:09
9
user3062410078031 :
lnnalillaahi wainaillahi rajioun
2026-08-22 17:33:29
5
mom dylan ❤ :
ningumu kuamini ila nenda baba mwendo umeumaliza😭😭
2026-08-23 10:26:20
4
Jean Fitwala :
pôle ni sana vraiment ule baba arikwaka nanifuraisha mno🇨🇩
2026-08-23 17:34:05
2
Rapudo bby :
hii wimbo ni ya nani
2026-08-23 07:04:54
0
Mercy Lady :
Pole sana mzee wangu
2026-08-23 06:27:35
2
@JEFF-254 :
poleni kwa taifa la tz... ombi na rambi rambi kutoka +254.🙏
2026-08-23 05:49:46
2
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm
homepage.