😂😂Baba angu mshikaji sana yaan siku namwambia na mchumba kwanza alicheka sana😂😂alaf akaniambia acha ujinga
2026-08-23 05:34:28
32
TAHFIDH MADRASA MOMBASA ZNZ📌 :
Ety Ok vp😂😂
2026-08-23 09:09:58
0
rill dn :
jina kitu gani muhimu jiko lichukuliwe
2026-08-23 03:47:06
25
GRB :
The well educated bongo movie played by well educated man Mzee Chimbeni Kheri. We leant a very beautiful discipline.
2026-08-23 06:25:24
2
Dr. Abukhalid :
hii movie sjaiona
2026-08-23 10:19:56
0
FrankDk7 :
jina la muvi pls?
2026-08-23 01:59:15
11
SABIANUS🪡 :
FREE SIMBA
2026-08-23 07:15:54
1
Lutfia :
Jina LA movies
2026-08-23 03:37:44
5
c'est la vie :
kilwa mtu anauelewa tofauti, binafsi mzee ni moja ya wale wazee wanaidumisha asili ya majina ya kiafrika. ndomaana aliposikia jina la Kenny akaona mhhh hii mbaya vizazi vinapoteza asili basi uitwe msaba jina ambalo 100% ni asili ya afrika
jambo hiki nowadays limetoeka watoto wengi skuizi wanaitwa akina junior, sasa vuta picha junior akizeeka 😄😄😄
"bwana Kuna hakika pale Kwa mzee junior" 😁😁
bug up mzee ✊✊
2026-08-23 05:26:47
8
IslamDailyReminder :
hvi ndio wazee walikuwa wakiongea wake zao hunyamaza 💯🙏🏾
2026-08-23 05:09:08
5
Mr: KHAN :
Masha Allah mzee uko vizur
2026-08-22 18:25:14
10
The Conquerer🫡 :
Ila JB taper bn dah 😅
2026-08-22 18:56:17
6
Juma Selemani :
Watu wako chap
2026-08-22 19:38:49
4
Jɪᴅᴇɴɴᴀ’ꜱ ᴅᴀᴅ :
Mzee Alipigwa akuamini macho yake 😂😂
2026-08-22 23:40:53
5
Katisho :
Leo nimejitambua kuwa mimi ndio Baba.
2026-08-23 09:04:22
2
Baba Azhar :
hii move inaitwaje
2026-08-23 09:42:37
3
💯âßdúlràhmàñ🇹🇿 :
alikua mshauri wa rais kipindi cha shein🥰
2026-08-23 09:28:01
4
lunamas :
Jina au dini?
2026-08-23 05:57:06
4
askofutz :
jina la movie ni Mzee wa swaga
2026-08-23 08:05:30
3
To see more videos from user @bestbongo.movies, please go to the Tikwm
homepage.