@afroeast.media: 🔥🎤 LINOG YUPO STAGE! Maandalizi yanaendelea Gitega! 🇧🇮 Linog naye ameingia kwenye soundcheck, akihakikisha kila kitu kiko tayari kwa show ya leo. 🔥 Gitega, mko tayari kwa usiku wa burudani? 👀🔥 #Linog #Gitega #burunditiktok🇧🇮 #AfroeastMedia #tanzaniantiktok🇹🇿