chezeni mpira sio mweli wa mtu apo mtapona kwenye umeme
2026-08-22 18:10:26
4
Mohd Ali :
clear red card
2026-08-22 17:47:54
0
dommie💜 :
Kwani nyie amuoni kama mmekosea
2026-08-22 19:24:12
2
Emam@Airliner :
si ninyi ndo mulikuwa mnasema GSM anaharibu ligi mkataka Tff walete VAR endeleeni kuenjoy na hiyo kwanza yajayo yanafurahisha🤩🤩🤩
2026-08-22 17:58:07
2
Yusuph :
naomba kujua kwan mligo nia yake sialitaka acheze mpla inakuaje sasa lefa atoe nyekund mbona kwel simba tuonewa sana kwanini asimpe ata kad ya njano dah mungu atujalie mech zijazo dah
2026-08-22 18:18:52
4
fatuma :
na huo nimwanzo bado raareek
2026-08-22 19:05:36
1
shaka Msuva :
nidham yawachezaji
2026-08-22 17:21:42
2
....•UnderDog_🐺🔥👤 :
ila ukiacha ushabiki pemben siku zote foul ya nyuma ni mbaya sana., ukirejea kwa pacome napo ilkuwa ni foul ya nyuma.. napongeza wachezaj wanajituma na pia huwez ona kam kuna mmoja kapewa red card,, neo ame cover eneo kubwa sana leo 👏👏👏
2026-08-22 17:27:05
2
Bless Mwasile :
kwani njano hazipo
2026-08-22 17:46:43
1
Ezekia Kamendu :
hamna nidhamu uwanjani
2026-08-22 19:03:23
0
Filbert Kiriani :
Kwahyo ameonewa ???
2026-08-22 18:29:11
0
Boy from Ulowa🏋️💎 :
Ndo mcheze Vinayak halafu tuwaache
2026-08-22 18:25:10
0
@ree_correctins :
wanataka mpak siku tukicheza na tanga tuwe hatuna wachezaj ndo nia Yao Ila mungu yupo
2026-08-22 17:20:47
0
classic :
😂😂😂ubaya lengo lao halitimii manak ndo tunashinda na tukiw pungufu
2026-08-22 16:57:11
1
Sebastian Jumbo :
Msimu huu tunaonewa cc
2026-08-22 20:11:23
0
Mo Mipesa :
ata ile penati aijaeleweka kabisa
2026-08-22 20:17:26
0
QassimJr@GE :
mbona husemi Penalty kama ni ya mchongo
2026-08-22 17:56:57
2
saimonamos.Fighter :
dah amna red card apo tunaonewa tu
2026-08-22 19:04:07
1
KB_19 :
Yaani hiyo kama ajali ya gari ukigonga kwa nyuma kosa ni kubwa kuliko mbele na mligo ajacheza mpira kacheza mguu wa mtu direct red card bila ya kujiuliza x2
2026-08-22 19:40:55
2
Jozee Jr💫🇹🇿 :
Aloooh daaaaah🥺
2026-08-22 20:46:59
0
@ster-odocaster885 :
tunachoka na hayo mamboo haaaaaa😌😌😌
2026-08-22 17:10:42
0
To see more videos from user @simba.sport.club32, please go to the Tikwm
homepage.