@ustadhzayd: MANENO YA DHAHABU TOKA KWA SHEIKH ALLAH AMRAHAMU TUMUOMBEE DUA SHEIKH ILUNGA TAFADHALI ALLAH AMRAHAMU NA AMRAHISISHIE HUKO KATIKA KABURI LAKE AAMYIN AAMYIN #ustadhzaydibrahim #sheikhilunga

USTADH ZAYD IBRAHIM
USTADH ZAYD IBRAHIM
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 16:50:41 GMT
17566
758
23
87

Music

Download

Comments

ab_kassanura
Ab_Kassanura :
Allah amrehemu Sheikh Ilunga
2026-08-23 05:41:39
5
ally.msafir0
Ally msafir :
shida viongozi wa dini ,Mungu hana dini wote ni wake hata mpagani naye nimali ya Mungu sasa viongozi wa dini wanapata wapi madaraka ya kumuhukumu binadamu mwingine,naona ambaye hajui anastahili kufundishwa,
2026-09-15 14:12:43
4
radiator467
RADIATOR :
ALLAH ampe pumziko jema Sheikh wetu #Ilunga👏
2026-08-23 10:24:44
3
assuassu71
Assu Mani Ssu :
ALLAAHU AKBAR
2026-08-22 23:44:11
1
man.at.work24
Man At work :
mimemuelewa sheikh
2026-08-22 19:33:30
1
joventjohansenmushwaimi
Jovent Mugisha Mushwaimi :
Hapo alikuwa mkweli kabisaa Sheikh Ilunga ,dini zimewaharibu masheikh wanaaminisha watu ujinga ,Kuna la kujifunza sana hapa
2026-08-23 13:02:27
3
cosmasbunto
cosmasbunto :
Tutafute maarifa maana dini haikuja ili kuleta chuki bali upendo ili nimuelekee Mwenyezi. Nakubali ndugu kufundisha watu kwa namna tofauti mbali na dini zetu be bless man.
2026-08-22 18:31:48
5
bestproducts534528
Ahmed Said :
he was really intelligent, ALLAH AMREHEM, Fact zote, idea and theory zipo kwenye quraan. wakat nasoma kisa cha isra and Miiraj, mtume alikuwa anatoa habar na kuona watu wa palestine wakat yy yuko makka na alikuwa anawaona na kuelezea kila kitu. makafir walikuwa wanabisha. leo hii tunaonana hata mtu awe dunia ya mbali.
2026-08-23 07:40:26
3
sanduulemo
Sandu Ulemo zabibu :
doooooooooooo!!!!
2026-09-16 21:53:15
0
user9739743138240h
fahad :
kweli kabisa ivi kuna wengne watakwambia unapenda dunia sana..vijana wa siku izi hovyo sana
2026-08-22 19:13:01
0
user9072127583507
Prudence R :
alaaniwe uko alipo
2026-09-23 02:27:51
0
osm31421
osm :
Rahimahuallah sheikh ilunga
2026-08-22 17:47:14
0
ngessi75
TanzaniaNjema :
sijasoma quran na hata sijui kilichoandikwa humo
2026-09-06 06:53:36
0
sadiki.dihomba
SADIKI DIHOMBA :
Allah umah bariki shekhe irungaa
2026-08-24 10:52:23
0
user57369058057063
Rish lyrics :
mi nimekuelewa
2026-08-22 18:07:24
2
kalvashikalvashi
kalvashikalvashi :
Leo umeamia kwa ostadh ilunga...unaangaika mjomba
2026-08-23 02:27:08
1
user8769058752656
Daniel :
😁😁😁😁😁 ustadh zayd ukosaii waislam waleo wamepindisha tafsiri
2026-10-01 19:51:12
0
doctor.079
سَيْفُ التَّوْحِيد |☝️🖤 :
💯
2026-08-23 06:01:07
0
elimutanzania
Elimu TV :
MUNGU NI NANI/NINI? Mungu ni NGUVU ya UUMBAJI wa kila kitu katika ulimwengu huu. . DINI NI NINI? Dini ni utaratibu waliojiwekea na kuufuata Makabila ya jamii ya watu fulani kupitia Tamaduni zao, Mila zao, Desturi zao na Miiko yao katika kumwabudu Mungu wao. Kwa lugha rahisi na kifupi DINI ni MAKABILA . DINI / MAKABILA MATANO MAKUBWA DUNIANI: 1. Muslim wanafwata katika imani makabila ya jamii ya Waarabu, . 2. Hinduism wanafwata katika imani ya makabila jamii ya Wahindi . 3. Judaism wanafwata katika imani ya makabila ya jamii ya Wayahudi. . 4. Buddhism wanafwata katika imani ya makabila ya jamii ya Wachina . 5. Christian wanafwata katika imani ya jamii ya makabila ya Wagiriki waliozigeuza na kuzichanganya na jamii za makabila ya Wayahudi na Warumi . MASWALI YA KUJIULIZA: 🤔 1. Kwa nini Imani ya jamii za MAKONDOO wa kiafrika wameziacha, wamezisahau na hawazikumbuki....? 😥 . 2. Kwa nini MAKONDOO wa kiafrika tunajipendekeza kama chawa kwenye imani za MAKABILA ya watu wengine na kuacha ya kwetu..? 🤔
2026-10-12 19:05:23
0
To see more videos from user @ustadhzayd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About