diff lock half na gia ya corola ukifanya masihara unavunja propela
2026-08-23 09:20:14
7
Mtwara BoY🛻🚦🚩🇹🇿 :
Lock diff cover 😂😂
2026-08-23 08:41:05
1
saidjushmy :
traction control
2026-08-23 12:01:32
0
Rango backup :
kuna mtu mpaka saivi anajiuliza nini iyoo😅😅😅
2026-08-23 05:47:11
12
kp🇰🇪 :
mm huwa naweka diff lock kweny dilisha si fupi🤣🤣🤣
2026-08-23 09:43:15
9
It's erick-msod♈ :
sio diff lock
ni lock diff😂
2026-08-23 04:52:26
2
@Elite_Geex👑 :
D2 muhim🤣💔🫴
2026-08-23 04:54:45
1
MGOSI23 :
KATIBA MPYA NI SASA.Tanzania ya viwanda itawezekana tukiacha upumbavu
2026-08-23 10:41:46
1
I DIDY nixon mnyagala :
natumiwa sanana kutoka dakika ya 75 Hadi 85 inanisaidiaga kutoboa tsinini mana kicha ga na tifutifu rock diff inasaport waoo nikikosa iyo najua nishafeli maana mizigo nayo beba
2026-08-23 09:36:56
2
@Stubborn-jr😜 :
Sijui kwann nawahi kujiongezaga iv🤭🤣
2026-08-23 08:23:22
1
LAST BORN :
Jeee sisi wenye Lc 300 tupen Kodi basi 😂
2026-08-23 07:07:22
0
Mtu makini :
afu umsamhe jamaa aliweka na hiyo end breck
2026-08-23 05:00:47
1
Sammy Jr :
hatari alaf unakuta chuma ni namba E unatupia Low 😂😂 kitonga taratibu unaikata 🙌🙌🙌, tatizo D mbili 🙌🙌🙌
2026-08-23 11:39:53
1
uwesu🌙✨ :
wale wa ghafla hawaelewii
2026-08-23 07:34:49
1
BWANA SHEBY :
daaah comment mpaka bado sijaona definition naona kila mmoja ana mention point 3 muhimu
2026-08-23 09:06:05
1
Emma2026 :
heshima kwako mkuu
2026-08-23 10:38:47
1
malume hd :
apa kama unajaza upepo na pamp
2026-08-23 06:12:55
1
naro :
apa ndo vita inakuwa imepamba moto asikilizwi mtu apa
2026-08-23 06:24:42
1
Tonyhustle2 :
uwakika
2026-08-23 13:16:13
0
Ngosha :
hii Huwa ni noma apa adui lazima asemevyote🤣🤣
2026-08-23 13:08:51
0
cottyfurniture :
STOPPER IYOOO 😄
2026-08-23 13:04:28
0
To see more videos from user @jimmykigola1, please go to the Tikwm
homepage.