sasa nauliza new born msichana haiwezi nyolewa sio
2026-08-23 09:19:35
1
Ima Kabusi :
sio haram ila ni haifai tu kukata nywele
2026-08-22 23:44:17
4
Husfat Issa :
Musiseme haramu banae msiseme kulaaniwa 🥺
2026-08-22 19:05:35
6
sudaice :
No No No...sister needs to be careful, I dont know about the hadith she mentioned but she should give a chain of narration it could be weak foundation but as far as Sahih Muslim, it doesnt say what she said. and I'm not going to say is acceptable or haram because that's for anyone that wishes to do something to investigate it and ask the imams if unsure.. someone needs to send that message to her.
2026-08-28 13:15:32
1
Himdat Dumila Yunus :
sisi tulinyolewa vipara zaidi ya mara 15 nywele zingekuwa ndefu sana
2026-08-23 04:48:36
6
Lalwitta :
Sina uhakika lakini sidhani kama ni Haraam bali inakua vibaya kukata ikiwa nywele ni ndefu kupita mabega mwanamke akakataa mpaka zikafika juu ya bega
2026-08-23 11:18:12
1
🎀adraty ✨️🎀 :
ikiwa kama ana maradhi kama kansa je pia haifai kukata
2026-08-26 18:57:15
0
Princess 🥰😊😜 :
pia kutrim nywele ni haram
2026-08-23 03:00:42
3
Dreamer :
Hmmm
2026-08-23 20:09:30
0
Rajabu Seif :
naam
2026-09-04 07:57:47
0
bint Abdallah 🫀❤️ :
Mashaa Allah tabaraka R-rahman ❤️
2026-08-26 16:07:57
0
ام فاريس💙 :
not true
2026-08-23 10:12:51
0
samayraa🕊 :
Jee kuweka dawa ?
2026-08-25 04:37:48
0
mashakamariam :
duu🤣
2026-08-23 12:32:52
0
Ruksaniiieee :
kukataa au kukta???
2026-08-23 18:02:14
0
ummu farhaty :
haraam kukata nywele kwa mwanamke
2026-08-22 17:50:46
1
AMOODY MANZIL :
Sio haram
2026-08-22 20:46:58
0
chakuu :
kweli
2026-08-22 21:50:29
0
Visusi Hassan :
maashalaah
2026-08-29 22:35:00
0
أبو حفصة الحنبلي :
Nani kakataza mwanamke kukata nywele?
2026-09-05 05:41:10
0
thekiller5637sd0 :
Mm sikua nnajua wangu msichana nilimkata nyele ya raby mungu nisamehe
2026-08-23 09:55:56
0
ام فاريس💙 :
what
2026-08-23 10:12:39
0
Twinklingtiers🇨🇦 :
Kuna tafauti ya kunyoa na kukata,kunyoa Ndio ni haram Lakini kama amenyoa sababu ya maradhi haina neno,Inafaa kupunguza au kukata nywele kwa ajili ya urahisi au urembo.
Haifai kukata kwa mtindo unaofanana na nywele za wanaume.mfano boy cut Yaani asikate mpka kishogo kikaonekana.
2026-08-22 20:50:56
2
To see more videos from user @alhaajartvkenya, please go to the Tikwm
homepage.