He is speaking like a tiktok comment section on a podcast💔
2026-08-23 06:02:49
0
denismugyabuso6 :
May God bless you brother
2026-08-22 19:29:45
0
livingicon_ :
Christ the king❤️
2026-08-23 12:29:41
0
George M :
😂😂 Yaani unaconcept nzuri, but you have to cross check your facts, hazipo sawa.
2026-08-22 19:28:00
26
Barry Christian :
....CECIL RHODES...
2026-08-23 05:46:02
0
silimumu/@ :
kama ukristo ulikwepo kabla ya ukoni kwenye bibilia tungeona majina yenye asili ya kiafrica hiyo Moja pili hizi nchi wamegawa wakoloni je kabla kulikuwaje? tunatakiwa kujua
2026-08-22 18:42:04
15
kioo_urembo :
Ethiopia ndo nchi ya kwanza ukristo kuingia na ilikuwa karne ya 4 na alioleta ni missionary
2026-08-23 06:16:58
15
5050ramso :
Jamaa Yupo Sahihi Kabisa, Hata Mtume Muhammad S.A.W Aliwatuma Mashahaba kutoka Makka Kwenda Africa Ethiopia
2026-08-22 18:14:30
15
Kombe :
Tho it wasn't Christianity
2026-08-23 04:11:52
0
Sam_Digital✨✨ :
u kristo ulikuepo labla ya kristo kuepo?
2026-08-23 09:08:38
6
Kalila :
Ukristo uliokuepo Ethiopia hadi leo uko pale pale Ethiopia na ibada zao ni tofauti, Ukristo ambao unakua practiced leo uliletwa na wamissionary waliotapakaa bara zima wakiwa na malengo mengi ikiwemo kuliandaa bara la Afrika kuwa koloni
2026-08-22 20:32:29
11
lee_pyun :
tunajua talk smthng different
2026-08-23 06:18:29
0
Ja Rule :
Ililetwa na nani?
2026-08-22 18:37:54
4
@Ushindi Edson :
Umechanganya kidogo kwenye kipindi cha Suleimani na Queen of Sheba, hao waliexist be4 Christ kabisa, ni kama 950BCE
Ila kuhusu Ukristo kutokuletwa na wakoloni upo sahihi 💯
2026-08-22 19:07:45
5
Hans Ernest :
bang mbaya Sana din zilikuwepo Nan kasema
2026-08-22 20:33:15
2
Mr Mon tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
jina la kitabu icho kinacho sema Ivo please
2026-08-23 19:13:41
1
JM CLEANING 🧹 🧼 :
nataka utwambie ukristo umeletwa na nani afrika na kama hazijaletwa na wakolon toa fact sio kuaminisha watu uongo
2026-08-22 19:52:53
1
Masinema :
suleimani hajawahi kumuoa malkia wa Sheba.
2026-08-22 19:45:23
1
kip sjasikia :
Hee kwa maandiko Gani mbona antupeleka
2026-08-23 19:43:00
0
Dck :
Unavyo sema sio kweli. Kabla ya dini za ulaya na uarabuni africa haikua na dini iliosambaa. Concept ya mungu mmoja haikuepo sio Africa pekeyake bali dunia nzima. Ukristo na Uislamu umesaidiwa kusambaa na 1. vitabu walivyo andika- Biblia na Qur'an. Kwa hivyo ilikua rahisi kubeba Mungu wao. 2. Ukoloni na nguvu katika kusifia Mungu wao 3. Formal education. Hivi havikua Africa. Soma historia kwa kuchunguza na utakuta unaeneza porojo
2026-08-23 06:37:48
0
makole 🇹🇿 :
wazungu wao walicopy dini na mila za africa wakaleta upya
mfano torat 25:5 hii mila wao hawana ila waafrica pekee
2026-08-23 03:49:40
0
margie🤍🎀 :
kipindi cha king Solomon hakukua na ukristo please msitumislead ukristo umekuja baada ya Kristo kurudi mbinguni
Kristo mwenyewe Hakua mkristo
2026-08-22 23:33:45
3
Tomson :
amesema part of truth....Ndiomaana kwenye agano jipya unamkuta waziri mkuu wa Ethiopia akiwa anasoma maandiko ya nabii Isaya...kwaio Ata maandiko ya biblia yalishaanza kufika africa kabla Ata ya izi dini waluzoleta wazungu na waarabu...matendo ya mitume 8:27-28
2026-08-22 19:10:41
3
juma :
Nikweli kabisa , Endelea kuwasanua
2026-08-22 18:17:45
1
munisi :
kasha tumwaa kuendelea kutupotosha
2026-08-23 04:46:25
0
To see more videos from user @talkwithpaul, please go to the Tikwm
homepage.