hajanitafuta Hadi saizi sijui Nini iki najuta yai langu ningelia ugari uwiii😂😂
2026-08-22 19:50:34
160
Beatrice wambui wamboy :
I will try tomorrow
2026-09-19 18:05:59
1
Shantelmoraa :
Eniock otino
2026-09-19 11:05:27
0
Celine bigir :
asante
2026-09-19 17:35:53
0
LoveyDuvvy🦋🩷 :
Alafu yai unalifanyaje ukilipasua
2026-08-22 17:36:17
28
INANA KIZIGO :
nilifanya dawa zako ndo nilimfukuza jamani😆😅😅
2026-09-19 17:11:17
1
Humphrey Msigala :
mm nmefanya ndo nmemfukuza kbx🤣🤣
2026-08-24 22:50:52
12
Lucy🌹 :
YESU anawezaa Hallelujah 🤸🤸🤸🤸
2026-08-23 06:49:53
34
maggy :
jana nimechoma kitunguu 🤣🤣leo katuma lakii mbilii 😃woyooooh na halikuwa hataki hata kunionaaa 🤣nashkur sana dada
2026-08-22 21:36:08
26
smilley star✨✨ :
nnapasulia kwenye sahan nkmalza nakaanga
2026-08-24 12:14:42
12
Ebby momo💞254 :
wewe dada kiboko kweli nimefata maelekezo yako na mpenzi wangu akanitafuta yeye mwenyewe baada ya kuninyamazia kwa miaka mitatu alikuwa ameniblock
2026-08-23 11:39:44
23
🦩loveness🦩 :
na kama kuna mwenye nataka aniache nifanyaje
2026-08-22 18:11:02
8
Raisa 🇨🇩🇹🇿🇮🇳 :
🫶🫶♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💋
2026-09-16 08:30:02
1
Kikina😍 :
sasa unaandika wapi jina lake Ebu nielezeye Mimi roho yangu inachoka n kutafuta ex wangu 🤣
2026-08-24 14:48:58
8
user521734899898 :
yai lakieneji au la kizungu
2026-08-22 20:08:10
7
falone kaunda :
nisaidiye
2026-09-19 13:44:05
1
My Venny Silayo.Mlay💔💘 :
nisiwe mnafki nilifany sindano na kitungu nika andik jina lake huwez amini ndo nilimfukuza mazima yani aliniacha sikuamini saiv
na mwamini mungu tuu na siyo hivi jamn mungu nisaidie mimi
2026-08-24 20:41:43
13
Neema Simba :
Mimi mwenzenu namuita Mungu. naombeni mnisamehe
2026-08-23 04:38:55
11
Lizzie michael :
😂😂😂😂😂ila hii ticktok unaweza ukajikuta mchawi
2026-08-22 19:14:55
5
uniquetwayyiba :
wewe dada napenda tu unavyojiamini basi unanifurahisha kweli
2026-08-22 18:33:09
9
Sophia Alex :
kitunguu ni uwakika aiseee
2026-08-29 07:52:51
3
Khajira Hhajira :
amee
2026-09-10 10:28:31
2
Rugo Pacha :
njoo yesu anakupenda sana ww njoo umutumike yesu binti fanya hima
2026-08-24 17:58:02
4
zainab haji :
mbn hutujibu sms privte
2026-08-27 04:03:46
2
To see more videos from user @dr.fathy.saidi, please go to the Tikwm
homepage.