@limitless.media.k: Uyo peter kaluma ndio the same person alifukuza sifuna ODM saai ndio ame ona importance ya SIFUNA …#v#viralvideov#viraltiktokv#videot#tiktokindiat#tiktok#kenyantiktokers#ohanglamusic#politics#maandamano#kenyancomedy🇰🇪
Uzuri H.E Sifuna ni mtu ya MUSIMAMO,That's one thing i always admire about H.E💪💪💪
2026-08-22 20:11:11
11
Le Grand Molakisi Adira :
Washanusa hawatapata kiti ya DP
Kindiki is more active on the ground nt Kenya than the ODM battalions.
Ruto won't consider ODM kwa table wakiendea hii kitu
2026-08-22 20:20:16
3
Abigael :
Ba Bado,from next year,watalia
2026-08-23 05:11:11
1
user1802700393489 :
sifuna dont try ,let ODM go down i peace
2026-08-22 17:49:37
4
ODG :
SIFUNA alikuwa na msimamo ata kushinda RAILA. Alikataa kabisa kufanya kazi na RUTO
2026-08-22 18:56:22
52
Cold✨Tonnic💙 :
Forward ever backward never
2026-08-22 18:53:27
2
adeptus custodes :
kaluma na wanga ni fake kabisa
2026-08-22 17:33:39
40
Orion_1713 :
sifuna is a political star...hii ata baba alikuwa ameona zamani lakini hao walikuwa wanajifanya ati ata baba hawezi ona mbali...it will be a long political season 🤦🤦🤦🤦🤦 but all in all wakenya mpendane 🙏🙏🙏🙏
2026-08-22 17:36:59
24
Legend one :
Wantam ☝️☝️☝️Sisi ndio SIFUNA
2026-08-22 17:34:37
22
Felo Mbwash :
sifuna simama na Kenya mulembe na Kenya nzima inakufuata nyuma
2026-08-22 19:58:36
13
pretty 💞 🤍026💫 :
hatujesahau sifuna akiambiwa afungue chama yake ya waluhya 😳 ati ODM ni ya wajaluo 🤣🤣ni nn tena mnatakia our son 😏
2026-08-23 04:38:46
3
susiboy04 :
Wan tam siku zote
2026-08-22 17:38:49
6
CATHERINE ANYULA :
waluchukua Hadi gari
2026-08-23 03:02:29
0
Maurice kadasia :
anza na babu na orengo ndio ukujie Sifuna
2026-08-22 18:53:31
1
piusmugambi835 :
sifuna the sixth
2026-08-22 18:32:40
1
brown mugadia :
Wamejua wanaenda home.Hata wasikaribishwe Linda Mwananchi. Akiwa ODM hawakuona dhamani yake.Saa hii ndio wanaona dhamani yake.Wakwende.
2026-08-23 17:44:18
0
Kaka Gift :
under line the word kuwapeleka mbio
2026-08-23 17:04:55
0
winstone Churchill :
kwani sifuna ameshawin nni tangu atoke odm 🤣🤣🤣 wait
2026-08-23 13:55:58
0
First Lady :
🤣🤣🤣🤣🤣 sijua mimi ni mluhya wakati nilikuwa napigia baba kura 🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 12:26:49
0
LilianG :
madharau Ile walimuonyesha,wawachane Tu na yy
2026-08-23 12:22:18
0
Kavee :
It’s them to go to jail and Sifuna to take tea for them🤣🤣🤣
2026-08-23 11:38:08
0
Lenny :
bna jo n noma
2026-08-22 17:53:45
0
To see more videos from user @limitless.media.k, please go to the Tikwm
homepage.