@bongo_media: Huu ndio ufafanuzi na bei halisi ya Magari aina #jetour kutoka China, ambapo Pia Mfanyabiashara #niffer jana amenunua Gari la aina hiyo na kufanya kuwa gumzo Mtandaoni hasa watu wengi wakibishana kuhusu Bei yake.
BONGO MEDIA
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 17:35:09 GMT
Music
Download
Comments
Hamissi platnum :
tunamsubiri bigwa utuletee kwa milioni 25 na laki nane tajiri
2026-08-22 18:43:30
268
COMILY :
Sema TRA ni miyeyusho sana
2026-08-22 18:40:16
115
veesalon1 :
Nahisi nmeingilia kikao cha matajiri🥹ml 79 ni ndogo 🙌🏻
2026-08-23 13:38:49
64
De_lastborne🗿 :
ushuru 30M+😳😳😳😳 Kwa sababu Gani haswa🤦🙆 nitatembea Sanaa😂
2026-08-22 18:59:14
53
Diblo🖕🏿👀 :
iv izi kod mbona kubwa kuliko gar yenyew
2026-08-22 18:50:48
38
JUMA...... :
jamani serikali 😳 Yani ushuru milioni 32 dah!
2026-08-23 04:35:51
21
Hanif Sengu :
T2 NI 47,000$ ZERO KM ....MSIDANGANYE WATU
SIONRAHISI
HIYO YA MCHINA USED
2026-08-22 20:30:59
19
_leasily🌹 :
hata ingekuwa milion 20 bdo ni hela nyingi kwangu so hongera dada
2026-08-22 20:59:13
28
lynx lynx :
we hiyo milion 90 ni ndogo
2026-08-22 20:21:50
5
🦋Heaven babe🥹❤️ :
Huuu ni ushuru Au uchangiaj wa sadak bandarini 😳
2026-08-22 21:29:40
8
Hellena Hassan :
Kwahiyo milioni 44 ni ndogo na kodi alafu milioni 90 we kaka
2026-08-22 19:54:42
5
Fahilkar33m :
nyie mutakavyo sema ila iyo gari bei
2026-08-22 19:27:37
21
MAGMA🔥🎬 :
Kwaiyo million 85 ni ndogo wanetu
2026-08-22 23:07:08
5
Mwikwabe :
sasa ushulu milion 30 kwan TRA ndo wamelitengeneza au,
Siwaweke hata milion moja. Yan ushulu ni sawa na bei ya galii, 😳
2026-08-23 00:33:39
13
FUNDI VIGAE TZ CHANNEL ✅ :
Watu bhana kwanini msubiri Nifa nunue ndo muitangaze ndo mtwambie Bei niyakawaida kwanini msinge twambia kabla bi dada hajainunua 🤷
2026-08-22 19:47:29
7
Mamu🌸 :
huku hakunihusu cyo kwangu gudubai 😅🙌
2026-08-24 19:54:09
0
Pully :
mmmh hiyo M 85 ni ndogo hiyoo
2026-08-22 20:46:47
0
Kɪɴɢ👑 Zᴋʏ Oғғɪᴄɪᴀʟ ☠️🦅🦅🦅🥷 :
heee yani TRA milion 30😳😳
2026-08-22 20:44:12
5
Lavie Montana 🇹🇿📍🇩🇰 :
Kwahiyo milion 85 sio bei kubwa mwanetu 😅
2026-08-22 21:11:08
9
kariakoo super shopping :
Hata kama ni milion 40 ni hela nyingi
2026-08-23 14:48:47
0
leilathjanuary :
unayo hiyo kaka
2026-08-23 08:10:57
0
katarina# :
milioni 79 ni ndogo mwanetu🥺 wkt kwenye account yngu nikiwa na milion2 tu national Tajiri sio poa hy 79 si najiona bilionea jmn,🤧
2026-08-22 22:59:53
1
Cleaclemence :
ata ningejuwa bei siwez nunuwa🔥😂
2026-08-23 13:51:50
0
Pelemba01 :
Sasa 79m ndogo babaaaa
2026-08-22 19:22:13
1
mdudu wa dampo :
sasa blaza milioni 80 ni ndogo au????acheni swaga
2026-08-23 07:37:28
4
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.