@elisha_.deals: Ukipata comment ya kuchekesha nitumie inbox tucheke wote 🤣

Elisha_deals
Elisha_deals
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 17:45:21 GMT
34495
851
145
490

Music

Download

Comments

mellaninfresh_juicepoint
mellaninfresh_juicepoint :
Nimeanzia kucheka kweny memes mpka comment section mbavuu zang 😂😂😂😂😂😂😂🙌
2026-08-22 19:17:57
3
chweetyjay
chweetyjay :
sitasahau Nilkunywa nkaanza kutafta miguu yangu mawasiliano yalikuwa kiunon kwenda juu 😂😂
2026-08-22 18:51:10
29
maggiemaggieblackbeuty
maggie fresh juice🍏🍉🍍🍹 :
hii kitu siitaki kabisa 😂😂 mara ya mwisho kuinywa sikumbuki bar nilitokaje nyumbani nilifikaje kikubwa nimeamka mchana niko ndan kwangu mdgo angu akaniambia dada jana boda kakuleta vizuri tu akakuomba nauli yani ulimchamba sana boda had akaondoka na nauli ukamnyima😂😂
2026-08-22 19:29:03
14
mariam.sufiani6
Mariam sufiani :
kuna mtu kapoteza kumbu kumbu deni alishanilipa anaomba nimvumilie mwisho wa mwezi huu😂😂
2026-08-22 20:05:44
22
igamba.traders
Nolly 🥰 :
Nilikunywa tena hata sikumaliza nafika home kila nikilala naona nabiringika mlimani basi nikaanza kulia kilio cha msiba naulizwa nini naanza kuapa sinywi tena pombe Mimi mmmh hadi leo sitaki kulewa tena
2026-08-22 21:07:39
15
user4531885376243
Nonodutcher :
Nakumbuka nilikunywaga last mwaka mpya hata ule mwaka sikuuona sijui ndo mana 2026 hainizingatii🤣🤣
2026-08-23 00:52:51
8
user5717682668404
sir filbert🌹 :
Mimi nilikunywa pombe halafu nikaenda church saa ngapi nisichukue maiki ya padrii nikaanza kusema nimekuja na yesu
2026-08-23 05:00:01
5
nasrafablegas
Nasra F🎀 :
nimechk kama Mazur kuna lafk angu alikunywa bila kula😂😂😂😂😂😂 sitakuja nisahau
2026-08-22 18:09:40
6
zawadizunza
Bryden Zunza!!!! :
mnamzungumzia huyu mpenz wangu sio
2026-08-23 05:58:31
1
daville90
Michazaro26 :
Huwa ina tabia ya kuziba masikio😂😂
2026-08-23 06:43:17
1
iam_silverrr4
iam_Silverrr :
😂😂Ndugu yake Absolut Vodka
2026-08-23 02:44:06
1
asmahlove1
Asmahlove1 :
Sh ngp
2026-08-22 18:45:32
0
officiallycandy95
Martha Abel :
Comment nyingi ni za wanawake wallah tumekua walevi sana 😂😂😂
2026-08-23 04:05:24
1
kitumbuaaa0
Afroo@soldier🥷🥷🇱🇷 :
iyo nlikunywaaa nkawaa nachekacheka mwenywe, mara nkampigia mamaa nkaanza kuliaa namwambiaa nmemiss sana , mara nimtumie naulii ajee , nikizanii ni demuu wanguuu😂😂😂😂 aloo🙌🙌🙌
2026-08-23 06:58:34
0
kariakoovipodozi
Kariakoovipodozi :
Hiyo kitu hapana kwa kweli .. nilitapika mpaka nikakata network
2026-08-23 05:59:55
0
ribeiro10707
Ribeiro10 :
Kuna hyo alianza kulia na kusema kapoteza million, akamwambia best ake Kila mtu alie kwenye Kona yake...
2026-08-23 06:12:27
0
marthantulo0
R&M 🥰🥰🥰 :
Kila nikikumbuka niligonga mlango wanifungulie wakati naishi mwenyewe na funguo ninazo kwenye pochi 😭😭😭😭
2026-08-22 19:57:49
8
viollen124
Mumy Roshn❤️❤️ :
Nina ushuhuda ngojeni kwanza 🤦‍♀️
2026-08-22 19:28:45
0
happygee606
GRAMELL SCENTS 🍒 :
Nilikata motoo niliamka nimewekewa drip kitengule hospital 😂😂 had leo nachukia vinywaj vyotee vyenye flavor ya apple
2026-08-22 20:01:52
3
leyheeena
Leylah luxury heena 🖌️ :
Wallah nilikojoa kitandani
2026-08-22 23:32:58
4
minah_glamwear
Minah :
Sina hamu nayo ili nifany nihesabu miti barabarani mimi🤣🤣🤣
2026-08-23 01:59:11
2
shebbie_mjuba
Mkuda :
Kuna mshkaji wangu alikunywa akamtongoza tena mke wake
2026-08-23 00:03:40
1
rahaaa305
rahaaa :
Siwezi kusimulia ila kwa ufupi naiheshim san na siwezi kuirudia tenaaaaa🤣🤣🤣
2026-08-23 03:51:56
1
To see more videos from user @elisha_.deals, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About