mfano wewe ni uafanya biashara gani unipe hyo issues
2026-08-23 09:03:32
3
Michy :
SEMA WINGA MKUU
2026-08-23 10:31:04
2
Sanaa Sana Inc. :
Uko Sahihi,Lakini Haifanyi Kazi Hii Katika Mazingira Yetu. Mwaka 2023 nilifungua kampuni ya Mazao Link Ikiwa na Model Hii but Wafanyabiashara Wengi Hawako tayari,Wanahisi Unahitaji Lift Kutoka Kwao na Wengine Wanawaza Utawapoteza. 😂
2026-08-23 07:31:28
1
abuu ayman3006 :
najiungaje sasa maana niko tayari
2026-08-23 05:33:37
1
miwi :
2026-08-23 10:02:17
0
MAKA FUNNY :
a
kabisa
2026-08-23 10:57:26
0
PONSO OG :
HAya mimi nina mchele mwenye kuweza kutafuta wateja aje
2026-08-23 10:45:15
0
tajiri :
maisha sio rahisi hivyo kaka💔
2026-08-23 10:36:21
0
Flooooreeeee mimi :
ushasema huna mtaji
2026-08-23 10:29:47
0
mwambaa :
boss mm Niko tayarii
2026-08-23 06:11:59
0
Regina20 :
Naomba nasafas naweza kutafuta wetaje
2026-08-23 07:17:05
0
Landafilmz :
Unahis hatulofanyi Hilo? Hawa matajiri wa mwanza wanakuambia biashara yangu inaenda yenyewe
2026-08-23 07:22:28
0
mwakyusa bk @gmail.com :
tuelekeze mkuu
2026-08-23 07:21:17
0
THE DRACULA :
ukiwa chini huku bro kuaminika sio rahisi!!
2026-08-23 06:23:44
0
Dume💪🤍🤍🤍 :
hio inahitaj utulivu wa akili kaka
2026-08-23 10:32:31
0
lehiba112 :
Hakuna mfumo huo Tz otherwise call it winga
2026-08-23 08:00:51
0
Pmoe :
ukooooo sahhh kabsaaa
2026-08-23 07:31:58
0
Alu Jr Dotto :
Sasa unazunguka si ungesema tu ungekuwa winga simple and clear😁
2026-08-23 09:17:49
0
Revina Stephen :
❤️❤️❤️
2026-08-23 05:30:35
0
phbTonny :
🔥🔥
2026-08-23 06:33:49
0
To see more videos from user @evance_geryon, please go to the Tikwm
homepage.