@kiswahilitvonline: Hussein Machozi alieleza kuwa wimbo huu haukutokea kwake binafsi, bali ulitokana na kisa cha kweli kilichomkuta mmoja wa watu wake wa karibu (rafiki au jirani) mkoani Mwanza kipindi hicho anaanza muziki. Tukio hilo la msichana kufariki ghafla akiwa amemtembelea mpenzi wake lilimshtua sana Hussein, na akaona atumie sanaa yake kuandika wimbo huo ili kuonyesha mtihani mkubwa wa kisheria na kijamii anaoweza kuupata mtu asiye na hatia. 👉Kwenye Huu wimbo kuna kipande Hussein machozi anauliza ingekua ni wewe kimekukuta hiki kisa ungefanyaje?.Tuonane kwenye Comment apo chini👇