@miladu_tv: Wazee wa Dar Es salaam SAIGON, Wampongeza Mufti kwa kuiheshimisha Dar Es salaam kuwa mwenyeji wa Maulid ya kitaifa na kumpa histori kuwa Maulid ya Mfungo Sita mkoa wa Dar Es salaam yamefikisha Miaka 100 tangu kuasisiwa kwake mwaka 1926 #babdeomiladu #miladutv #miladuupdate
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
maalim miladu,Kwa idhini ya Allah naomba umfikishie muft na bakwata Kwa ujumla kuwa,tunahitaji vyuo vikuu vingi vya kiislamu MUM pekee hautoshi
Pia tunahitaji vituo vya afya vya kiislamu mama zetu bado wanazalishwa na wanaume
Miaka 100 ya maulid Tuna nn waislamu?
Bakwata isiishie kuonekana kwenye mwezi na maulid2
2026-08-22 18:42:03
1
user9250863731087 :
😁😁😁
2026-08-22 19:04:35
0
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm
homepage.