Unawezaje kumpa dk kiongozi mkuu kama Makamu wa Rais?
2026-08-22 20:20:24
39
misoboy :
huyu mwamba ni moto kwel kwel
2026-08-23 02:10:02
29
*es* :
Homeland or die🤣🤣
2026-08-23 05:44:35
7
Gabba RG :
very intelligent My vice president, kudos!!
2026-08-22 23:26:26
26
ELITE HUNTING GOLD TANZANIA :
Uwezi Kumpa Dakika 10 Makamu wa Raisi Hao waliompa hizo dakika wamemdharau
2026-08-23 09:29:35
6
Winnie :
Safi Sana hutaki unafiki🤣🤣🤣🤣we ndo Raisi wangu🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 09:13:47
8
Allah Jabar :
Huyu jamaa mii simuelewagi halafu anacheka, raha sana
2026-08-23 04:20:03
14
glasswiyne :
hii ni kweli au michezo ya mitandaoni?😂
2026-08-23 04:45:27
10
Juma Nyundo :
uyu ni mjomba wa taifa
2026-08-23 08:27:06
5
MD :
Hii imeenda shule
2026-08-22 20:01:21
19
Mussa Lameck :
Huwezi mpangia Second in command muda wa kuongea, muache Busara zake zitaamua anajua shughuli ni ya Rais... so katumia uzoefu wake wa Diplomasia kutuma ujumbe.
2026-08-23 08:00:39
10
Faraja Msaki :
HADI YEYE MWENYEWE KACHEKA JINSI ALIVYOMTUPIA MPIRA MWENYEWE🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣