@jwtz80: KONGO: Hiki ni Kikosi cha Utayari cha tano ( TANZQRF) cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kinacholinda Amani Katika Jimbo la Kivu Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa (MONUSCO) kikiwa katika zoezi la kupima utimamu wa Silaha ndogo ndogo Pamoja na Silaha za Kivita. Vikundi vya Tanzania vimekuwepo Mashariki mwa Nchi ya Kongo kwajukumu la Ulinzi wa Amani tangu mwezi Mei mwaka 2013.
Tanzania military
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 18:36:13 GMT
Music
Download
Comments
babah ney :
When JWTZ stands up, the enemy shakes.
This is work This is patriotism Proud of you heroes! 🇹🇿💪
2026-08-22 20:27:15
10
Tony jaaa :
we are proud of you soldiers!!!
2026-08-23 08:45:21
0
Captain_Scott :
proudly Tanzania
2026-08-23 06:38:28
0
Big shark 🦈 :
God with soldiers 🙏
2026-08-22 19:06:47
1
laizer :
wenzetu wanajesh wetu wanapgan vita sisi wanapga vibao
2026-08-23 05:26:18
1
carefull person🥰 :
yes nice man
2026-08-22 18:56:54
0
@okello jr Tz :
nakubali san jw na muomba mungu kila siku na mm nipate nafasi yakujiunga na jeshi la wananchi wa Tanzania kila kitu ni ndiyo tu hakuna kupinga
2026-08-22 18:44:54
3
HYPER_BYSSAL. :
always wanyagatulah one love itawale sana 💪💪
2026-08-22 19:02:14
3
Mods Dickson☑️ :
hiv hizi Hela za slaha ambazo znatumika mataifa menginee zinanunuliwa. na pesa za nchi gani
2026-08-23 05:57:04
1
Amiri Deasel Servises :
bira kuchoka
2026-08-23 06:43:19
0
cute lucy😘 :
mungu awalinde
2026-08-22 21:52:59
1
@chagaman_tz :
MUNGU awatangulie
2026-08-23 05:52:52
0
Abdul Khaldi :
Move move move ni kiswahili au nasikia vibaya.
2026-08-23 07:47:22
0
OG Hub :
tupo vizuri ila tujitaidi kuendana na technology, vyombo vyetu bado vyazamani
2026-08-23 04:54:32
0
HMN _KING :
Hongereni wanajeshi wetu wa JW kwa kazi yenu ya kulinda Amani
2026-08-22 19:43:42
1
king of the jungle 🦁 :
TanzQRF 🔥🔥🔥🙌
2026-08-23 07:38:38
0
user6718167846355 :
Huyo mwanajeshi wa mwanzo aliekamata machine gun anavyo mwaga moto hongera sana mungu awabariki wanajeshi wetu 🇹🇿🔥♥️
2026-08-22 20:35:30
1
Nice msele :
mungu awalinde mashujaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-08-23 06:11:37
0
salima :
mm naomba kazi yakupika
2026-08-23 04:45:34
0
y0ung_eazy :
2026-08-22 20:40:24
0
Sawizzl26# :
Samahani Wanapigania Nini Huko..?
2026-08-23 08:36:24
0
TATA BM🦅🇹🇿(NYEBHOSA) :
Ila Tanzania basi watu si wakuwaamin 😂
2026-08-23 05:35:19
0
kasmiri :
soldier wa kwanza kuoneakana uyo ni🙌🙌🙌
2026-08-22 23:37:37
0
laizer langidare :
mola awape nguvu muweze kuwashnda maadui wenu
2026-08-22 18:44:01
0
To see more videos from user @jwtz80, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.