Bida,kwa nini tufuate vitu vilivotungwa na watu tu.
2026-08-22 21:20:51
4
Ugaas :
Wanazuoni wa Ahlus-Sunnah wal-Jama’ah wanaona kwamba kusherehekea Maulidi ni bid’a (uvumbuzi) katika dini. Haikufanywa na Mtume wa Allah ﷺ, wala Makhalifa Waongofu, wala Masahaba, wala vizazi bora. Kile ambacho hakikuwa sehemu ya dini wakati huo, hakiko sehemu ya dini leo. Ibn Taymiyyah (Allah amrehemu) na wale waliofuata njia ya Salaf walifafanua kuwa kuvumbua sikukuu na ibada ambazo hazikuwekwa na Allah na Mtume Wake zinakataliwa, hata kama nia ni upendo kwa Mtume ﷺ. Upendo wa kweli unaonyeshwa kwa kufuata Sunnah yake, si kwa kuongeza juu yake. Shikilia Sunnah safi na acha bid’a.
2026-08-22 21:15:25
9
Kalela Online Tv :
sheikh Mubarak Allah akuzidishie kheri nyingi
2026-08-22 19:22:45
14
بنت راشد :
sisi na mtume mpka qiyamah hatuachi kumswifu
2026-08-23 19:06:48
3
undercover0.00 :
Bi Aisha mke wa mtume aliishi miaka 40 baada ya kifo cha mtume hakuwahi kumfanyia maulid je unampenda mtume kama alivo kuwa akimpenda mke wake
2026-08-22 20:30:10
18
Ibun Kitenge16641 :
KUNA WATU KWENYE Comments KABLA HUJAMJIBU NENDA KWENYE POST ZAKE UTASHANGAAA NA UTAJIFUNZA UMJIBU AU USIMJIBU UMUANGALIE TU.
2026-08-22 21:48:44
8
Moha lights :
Mungu akuhifadhi sheikh mbarak
2026-08-23 00:06:12
4
Rashid Habibu :
MAWAHABI WENGI HAWATAKI KUSOMA YAANI KUNA HUKMU NYINGINE WAMETOA WANACHUONI JE HAO WANACHUONI HAWAFAI KUFATWA FATWA ZAO?????
2026-08-23 03:38:46
3
Swaleh Abdulrahma575 :
Allah akuhifadh shekh Mubarak
2026-08-23 20:56:42
2
Ahm3d LaO :
Sheikh mungu amzidishie elimu na uchamungu sheikh wetu
2026-08-22 20:41:48
7
fatma Kahindi Mbato @ . com :
Allah tuhifadhie masheikh wetu Amin 🤲
2026-08-22 19:46:16
4
Iss@~○thman✨️ :
Allah atuongoze katika kheiri inshaallah 🤌🤲🙏
2026-08-22 19:35:39
4
kunajoto.001 :
MOLA TUHIFADHIE WANAZUONI WETU.amiin
2026-08-24 08:22:36
2
K.A.M :
watu ikiwa jambo hawalipendi basi mara hukimbia kwenye madh haab na wakaona hakufai hata kufuata maulamaa..ila ikiwa jambo walitaka wao basi maulamaa wote hao hufaa...AJABU..
2026-08-23 10:42:30
2
hamad :
mashashallha sheikh wetu maulid tutsoma maulid mpka kiam
2026-08-25 16:29:55
1
Humairaa :
Mashallah
2026-08-22 19:27:31
4
HASSAN ABUBAKARI :
mimi sipingi wala siungi lakini hasa wanaopinga maulidi tuweni na heshima na nidhamu kwa wenzetu wanaosoma maulidi. Tuacheni kejeli,dharau,matusi na kujiona sisi ndio bora kuliko kila watu wa dini zote duniani.
2026-08-25 13:52:27
3
SIR YUSUF :
mashaallah
2026-08-23 03:33:15
2
aliyusufmaalim :
S.A.W❤❤❤❤❤❤❤️
2026-08-22 19:28:35
4
ibnhassanabulhassan :
Allahum
2026-08-24 05:05:12
1
haji23443 :
sisi na mtumi mtume na sisi
2026-08-24 23:08:31
1
mirdaas aslami :
ما شاء الله شيخنا الفاضل
2026-08-22 20:13:14
3
Bm zube :
wametunga neno kutunga maanake ni Ile Ile bidaa na mtume ana sema Kila bida ni uzalili na Kila uzalili ni motoni yani iwe unahisi ni nzuri au laa ila mtu kasema Kila bidaa
2026-08-22 21:06:14
1
أبو :
Mtume صلى الله عليه وسلم hakufanya, maswahaba hawakufanya, makhalifa wanne hawakufanya, maimamu wanne hawakufanya ..
2026-08-23 01:54:04
2
To see more videos from user @sheikhmbarakahmed, please go to the Tikwm
homepage.