Una mgeni anatoka shamba Paje Anachelewa flight ✈️ushapapatua shamba kote huko namashimo unafika hapo unakutana na speed camera 📸 mgeni anachelewa hapo tu Anafika hupo a naona Barabara ipo sawa alafu anaongia ndan amekosa ndege je ………… inakuaje🤔
2026-08-22 19:43:17
0
papaa arbaab :
mhshmiwa rais tunaomba ukiangalia ilo
2026-08-23 07:15:45
0
mam.h :
navubjaa speed mita je watanikamataas
2026-08-23 04:17:48
0
skf :
sas hiy speed anaendesh mtt au
2026-08-22 21:10:46
0
papaa arbaab :
tunaomba na usafi wa Barbara mpya bado ni chafu
2026-08-23 07:15:23
0
Kibeki Ali Patrik :
Bas ungevaa mkanda
Mbn mnapenda kuvunja sheria
2026-08-22 21:11:39
0
gyönyörű zanzibári túrák :
Kaka io speed yako 20 pia wamakupiga fain unasababisha msongamano
2026-08-23 04:20:30
0
To see more videos from user @rashidbattashy, please go to the Tikwm
homepage.