@kendrick_kalisah: Hivi ndivyo msanii 20 Parcent alivyopanda kwenye jukwaa la miaka 30 ya Bongo Fleva Dodoma. #ManaraTv #manaratvupdates

Kendrick Saidi
Kendrick Saidi
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 19:33:58 GMT
206561
16475
458
204

Music

Download

Comments

sadam.said41
sadam said :
hakuna msanii Tanzania anayemuweza uyu mwamba kwa kuimba👊
2026-08-22 21:39:30
368
user215431967885
Lugano (Lubago car custom Bond :
wimbo wake wa tuliza moyo wako unapasa kuwa wimbo wa taifa na iwe sala ya kila siku.Anaanza:- Tuliza moyo wako Kubali mapungufu yako Rahisisha mahitaji yako Ongeza kipato chako Acha tamaa mbaya HUU WIMBO NI MAISHA HALISI UNAWEZA ANDIKA VITABU HATA MIA KWA HIYO MISTARI SITA TUU.
2026-08-23 03:18:27
81
purple_cosmetics0
Purple :
sio Dodoma tu hata mm kasepa na mm hapa kwenye comment
2026-08-23 04:25:50
187
agatha_imani
Agatha_Imani❤️ :
My best musician
2026-08-23 19:12:23
0
yohana8760
YOHANA P MSIGALA :
nimemuona mama mchungaji wa kanisani kwetu
2026-08-23 05:19:36
40
thebosslady988
thebosslady988 :
Hivi imefanyikia viwanja vya wapi
2026-08-22 20:37:32
25
lucyrobart3
lucy roby :
🥰🥰nmpend uyu kaka tena kimapenzi😂😂😂😂😂
2026-08-23 04:00:11
32
bigambedeares05
damlaofficial :
KUMBE NI 20 PERCENT SIO 50 😂SASA MIMI NAISHHI WAPI 😂
2026-08-23 04:54:46
2
user1945987874270
##Bosa services## :
20 per 20per 20per rudi kwenye game unamashabiki wengi bro na unapendwa na watu
2026-08-23 05:42:40
41
sybongombe1
Sy Bongombe :
tunao mpenda twety tu gonge like apa🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-23 07:22:29
27
hey_its_angie1
hey_its_angie1 :
Walimkuta wapi jaman
2026-08-23 06:06:15
11
mrhebaoutfits
Mr.heba Outfit's :
good vibe🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 19:41:40
0
lackiesstorechinatotz
LACKIE’s STORE🇨🇳➡️🇹🇿 :
Huyu ata asipoimba bahna watu wanajiimbia zao🥰
2026-08-22 21:12:20
30
middy_piccolo
Middy piccolo :
Legend
2026-08-23 06:40:42
0
jidakikoti
jida :
mwamba
2026-08-23 05:19:34
2
doreen.elias77
shine Beauty stylish :
Hawa ndo wasaniii na walikuwa hawaimbii nyimbo za matusi tuelewaneeee
2026-08-22 22:17:01
5
annaandrew78
Anna Andrew :
wooyooooo
2026-08-23 07:01:07
2
luludreamer21
Dreamer🧸🎧 :
Awa ndo walitakiwa kula hela ya mziki wa bongo lakini ata hawaja pataga hela bhna sijui kwann, sikia sauti kwanza ipo vile vile dah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-23 11:01:38
18
dayanaj112
daya 💝beauty saloon💄🫦 :
mtoto wa 2000 kama unaikumbuka hii gonga like hapaaaa!!!😅😅
2026-08-23 12:44:06
8
bintishirima07
bintishirima7 :
aisee hi ilinipita
2026-08-22 21:06:55
22
isca39
p💞 :
Hivi Arusha ni Lini
2026-08-22 22:15:31
12
user4567554363317
mohamed shaib :
nakumbuka mbali zama izo
2026-08-22 21:43:01
16
iam_ronnyelis11
iam-ronnyelis :
Moja kati ya wasanii pendwa kuwahi kutokea na bado tunao , mashairi yanaimbwa yamebeba uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi 😍😍😍 mwenyezi Mungu amtunze uyu jamaa though he passed hard times Still Sir God loves him too 🙏
2026-08-23 02:52:18
6
simoncarol3
simoncarol819 :
star halafu yuko simple
2026-08-23 05:05:11
21
anthonymwakikalo.macome8
M C A.T Mwakikalo@8 😁🤼‍♀️ :
nyimbo za 20parcent ni darasa la maisha. ukitaka uisha kwa Amani duniani na kila mtu ingia kwenye nyimbo za huyu kumbe😀 Nimsanii watofaut
2026-08-23 04:25:59
7
To see more videos from user @kendrick_kalisah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About