Kazi gani iyo ya kutoka saa 11 na kurudi saa nne usiku. Serikalini kuingia ni saa 07:30 kutoka kazini si saa 09:30. Iyo saa nne inakuwaje kuwaje.
2026-08-23 10:34:24
0
eldindion :
Ulikuwepo...???
2026-08-23 10:14:31
0
Alfa :
Hii kitu ni nzuri sana sisi Wanaume tukisimama kwa % 99 kutimiza majukumu yetu ktk family zetu then mke atimize 1% akiwa na biashara zake na mambo yake..
2026-08-23 01:24:13
2
To see more videos from user @youth_onlinetv, please go to the Tikwm
homepage.