@uhondo.tv: Makamu wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi amefanya kitu cha kipekee wakati akimkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya hotuba yake kwenye hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) baada ya kutumia sekunde chache tu kufanya ukaribisho huo, akienda na muda aliopewa wa dakika kumi za kuzungumza
Uhondo TV
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 19:48:17 GMT
Music
Download
Comments
Mr Aclaim jovan :
Nampenda sana huyu baba
2026-08-23 00:31:05
10
Lee :
😅
2026-08-25 09:07:34
2
Kasim Bahati753 :
mtego huo wa ccm kama kajitoa vile
2026-08-22 22:01:09
6
Alex Mosha :
big brain
2026-08-22 21:11:55
4
WHEN I SEE YOU AGAIN :
AI inatumiwa vzr pia, hii km Hauangalii picha hauwez jua km n AI lkn angalia mdomo wake na sauti inavyokwenda
2026-08-23 09:09:43
3
Omary Mbongwa :
lipo jamb
2026-08-22 20:44:11
3
mbwambo :
mbona kacheka?
2026-08-23 06:55:57
4
Aludo Makori :
safi saaaaaana,tunakuelewa
2026-08-23 06:09:06
3
user5552468727037 :
no comment
2026-08-23 08:59:04
1
Jeniva Ngalya 🥰 :
mtu safi sana uyu🥰
2026-08-23 10:12:08
1
Arish .KJ :
wachache wameelewa...
2026-08-24 03:11:11
1
Ng'arukai Kashuma❤️❤️❤️❤️ :
vzr xn
2026-08-22 21:31:53
1
Queen🦁❤️ :
congratulation
2026-08-23 08:24:57
0
Sebius Tembile :
hii sio AI ni uhalisia
2026-08-24 09:30:19
1
Larry :
akili kubwa
2026-08-23 16:15:35
1
chidy white :
hii imekaaje wakuu😂
2026-08-23 15:05:10
1
sunny :
,,,ni kama vile jamaa anatolea public coz ni lazima.atokee ila ,,ingekuwa ni amri yake asungeungana nao ,,anaonekana anawachukia sanaa
2026-08-22 21:02:37
1
j.g.🇹🇿🇰🇪🇺🇲 :
alifanya vizuri sasa waongee wao hizo dakika zingine 9
2026-08-23 08:23:51
0
Charles Qollo :
matumiz mzr ya muda
2026-08-22 19:54:14
9
Aludo Makori :
our lovely
2026-08-23 06:09:45
0
Lyimo Godfrey :
mungu akutangulie
2026-08-22 22:01:34
0
Raynor5575 :
kazn Kuna kazi
2026-08-22 22:43:21
0
Ibrahim Adam :
imaaa
2026-08-23 08:04:12
0
Mar Graphics Mar :
good sana
2026-08-23 12:21:59
1
pkanuda0 :
2026-08-22 21:52:14
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.