hapo kwenye wanyama huwa ecosystem inatafuta stability,,,wanaokula nyasi wakiwa wengi nyasi zitaisha so inabidi kuwe na kiwango fulani ili chakula kiendelee kuwepo na maisha yaendelee
2026-08-23 04:24:25
2
Masharubu majaliwa :
Point
point
point
point
point
Naidownlod hiii itanifunza kila siku
2026-08-24 13:41:42
1
Mtoto wa shekilango :
fact kaka
2026-08-23 03:11:26
2
Carloz calvin :
broh umeongea fact sana✌️😂
2026-08-22 22:52:50
4
Amiry Asila :
imebidi nikufollow tu sina jinsi Kwa maana umeongea fact
2026-08-23 03:52:33
2
Angelight :
ukielewa nature ya ulimwengu basi 🥰.....
2026-08-23 07:39:34
3
Mr Famous :
Kwel kaka dunian tupo kwasababu ya wengine ..Ndio asili .ukiua wote huwez kuish mwwnyew
2026-08-23 11:15:28
4
deogratius luoga :
fact mkuu
2026-08-23 01:44:39
1
Selina William :
kaka ukokwenye levo nyingine kabisa watu wanajiona wako sawa
2026-08-23 04:21:21
2
user2465807980332 :
watu kama awa wanamchango mkubwa sana kwenye taifa letu
2026-08-23 09:03:29
2
Stitch Designx :
Attachment inatesa sana watu yaan watu wanaweka umiliki kwenye vitu ambavyo vinaweza potea muda wowote saa yoyote bila kujali watu wanafungamana na vitu rogo za watu vina ambatana na vitu
2026-08-23 04:37:41
2
TΛVIX ✝️ :
📝
2026-08-23 07:18:31
2
Myron tz :
fact
2026-08-24 10:40:55
0
Ngosha pori maujuzi :
nakusapot
2026-08-23 04:35:24
1
Allen IQ☄️💰💶🌼🦜🦜🌻🌻✡️✨💫 :
2026-08-23 07:13:39
0
Buyosy :
oko sawasawa
2026-08-23 04:28:26
1
deogratius luoga :
karibu kwenye harus yangu mwez 10
2026-08-23 01:45:08
1
Imhotep :
"Ubinafsi"
2026-08-24 09:54:11
1
Leonald :
KABSAA💯💯💯💯
2026-08-24 07:01:09
0
bozeni jr :
unauma xana kujua kama nilikua mjinga kwa mda 👂🏼
2026-08-25 14:00:42
1
Selemani Mkwabi :
😂😂😂😂😂😂😂Nakupenda
2026-08-24 13:40:19
1
Yoasi Jackson :
kweli kaka
2026-08-26 21:02:34
0
Leonald :
KAMA UKISILIZA UKIWA UMEKUNYWA CHAI HUWEZI KUMUELEWA HUYU JAMAA ILA KAMA UKIMSIKILIZA UNANJAA NDIO UTAMUELEWA VIZURY 💯💯💯
2026-08-24 07:03:01
1
Mr Famous :
101%
2026-08-23 11:12:59
0
To see more videos from user @kukimalano, please go to the Tikwm
homepage.