@simba.sport.club32: KADI NYEKUNDU ZOTE TATU

SIMBA SPORT CLUB
SIMBA SPORT CLUB
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 19:54:18 GMT
161673
13223
512
141

Music

Download

Comments

alexmalema695
alexchalex :
wana tuonea san jamn
2026-08-23 07:12:56
1
dj.nobe.safi
Dj Nobe Safi :
washaona hamna namna ya kumzuia simba sasa wametafta plan B, but nobody can stop Simba
2026-08-23 08:53:39
0
user3717522430045
QuenJay :
Mimi ni Yanga lakini Simba inaonewa kad nyekundu zimekua nyingi
2026-08-23 07:02:08
35
masabala_47
Masabalas_47 :
red card FC
2026-08-23 09:26:02
0
lukafuba_jr
Lukafuba Jr :
Kuna namna tunatafutiwa kupoteza mechi kwa faida ya team flani, hata kama kweli wanafanya makosa inatakiwa haki pande zote. Shalulile alifanya kosa kama la Duchu hakupewa kadi yoyote, Kosa la jabaari lilistahili Red card kabisa, lakini kosa la Mligo ni jepesi sana kupata red card, hii ilikuwa ni onyo la yellow tu. Bacca alimgonga mchezaji wa Coastal na hakupewa kadi yoyote zaidi ya foul ilozaa goli
2026-08-22 20:03:48
54
the__code__man
Mr_G_•°• :
but it's a clear red card
2026-08-23 08:44:29
0
aggie20202
Aggie :
kiwiko hapa kikowapi🥺🥺🥺 najisikia uchungu sana
2026-08-23 06:29:08
23
user8613598424081
Nkubason :
tunaonewa sana wana simba wenzangu lakini tusikate tamaa simba nguvu moja
2026-08-22 20:16:54
63
jytvivaofficial47
Ratonic_47!!! :
zote sawa lakini ya mligo imekaa kimchongo sana
2026-08-22 20:40:18
86
ayubu970
ayoub :
kwaakili zangu timamu nipende kusema ivi mechi ijayo simba ikipata card nyekundu musishangae kuniona ndani ya uwanja ama zangu ama zarefa watanitambua😭😭😭
2026-08-22 20:43:58
32
robytz831
RobyTz🇹🇿 :
mbinu za kutengeneza yanga awe bingwa 😭😭
2026-08-23 07:35:43
10
saidynyigu
Nyigu Tz :
clear red card
2026-08-23 07:47:55
1
mugulusiwakanaz
Mugulusi wa kanazi :
NI MPANGO WA VIGOGO FRANI WANAO ISHABIKIA CHURA FC.
2026-08-23 04:20:34
9
user2497532152884
senguro jr :
one day yes
2026-08-22 20:35:16
0
mavelei_
MAVELEI 10JR :
na hakuna tuliyo onewa zote ni harali
2026-08-22 22:27:56
10
juma51685
juma :
tumieni akili sio maguvu mpila sio vita
2026-08-23 06:05:36
7
kingdasilva_4329
official mwassa jr :
me naimani kwamba simba ni timu kubwa hivyo wanatuandaa kwa ajili ya michuano mikubwa hivo tukiwa kama wana simba tusikate tamaa ni mapito tu simba anaungia uwanjan ikiwa mechi imechezwa tayari kinacho fata ni maamuzi ya ajabu ya marefa ili kuinyong'onyeza simba lakin simba ni hatari inashinda bila was was hivyo ukiwa kama mwanasimba mwenzangu usikate tamaa "SIMBA NGUVU MOJA"
2026-08-22 20:49:16
15
daudmaswi
Daud Maswi :
mm naona kama tuliweza kungoa vuti Kwa mkapa ivi hio ninh FVS inatushinda vp kuivunjilia mbali make tutaenda ivi tukose mchezaji wa kupeleka uwajan kisa kad nyekundu
2026-08-22 20:37:34
5
emmanuelkamwel
emmanuel kamwela kamwela :
:ndiyo mana harisi ya wekundu wamsimbazi❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-22 21:07:41
7
andreamwantepele54
andrea mwantepele :
nimeumia ila simeshindwa kutetea wenye card nyekundu
2026-08-23 08:55:13
0
ahobokile.sb
Ahobokile Sb :
💪💪bado 🦁🦁🦁💪💪💪 tunasonga
2026-08-23 05:57:36
2
salammindegeleu
RUFIJI+KIBITI +MAFIA :
red card zote ni halali kiufupi bado wachezaji wa simba hawana nidhamu
2026-08-23 06:41:43
1
ibn_qassim
ibn_Qassim :
red card ya wazi kabisa 😁
2026-08-22 21:25:16
4
christinamsangi87
pink lady^ :
TFF wanatakiw waangalie hili jambo aiwezekan waamuz wanaona tu sifa kutoa red card kila mechi!! au ndo saiv tunadil na marefa?
2026-08-23 04:29:51
2
To see more videos from user @simba.sport.club32, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About