@esamkaawele2024:

عصام الدين
عصام الدين
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 22 August 2026 20:35:00 GMT
2285
203
38
34

Music

Download

Comments

abu.alwy
khuzeir 39,500 :
aibu naiona mm namna mashekhe tulikua tukiwa tegemea kina humeid leo hii wnafundishwa kupitia vitabu subhanallah ctasoma maulid bt najua yako na khilafu na watu wamaulid wako na hoja za kutegemea, zamani tulikua tukiona maulid ni haramu haifai ni mbaya hata kuliko dhambi nygine lkni kwa kusoma vitabu na kufwatilia vzri maulid nikatika mambo ambayo yako na khilafu katika ya wanavioni wakubwa wako walio kubali na walio kataa.
2026-08-22 23:34:24
6
early.motorsspares
Early motors&spares :
maulidi hayakuanza leo wala jana yamaanisha nini?si ni uzishi na kila uzushi ni upotevu
2026-08-23 03:57:12
1
boflo.jnr
BOFLO JNR :
MashAllah napenda unavyo toa hoja kwa dalili
2026-08-22 20:58:14
4
abusmaz6
Abusmaz :
yaani ustadh عصام wamrahisishia saana mpaka vitabu na swafu pia
2026-08-23 03:16:57
1
muhammad.khatwab
Muhammad Khatwab :
duh imegeuka kuwa ijmaa ati 😂
2026-08-22 20:55:06
1
sir_yusuf17
SIR YUSUF :
HAKIKA WE NI HAZINA YA TWARIQA UMETOA ELIMU YA KUTOSHA ALLAH AKUHIFADHI
2026-08-23 03:19:15
1
thuram1602
Aktham Muhammad :
Masha Allah n usijali wataelewa tuuu dawa inafaa hivyo taratibu taratibu wamezoea kuchapa kelele tuuuu hawana inswaf katika Dini.
2026-08-22 21:54:25
2
naspic255
Nassor :
shukran jazeera encyclopedia yetu 🔥Allah akutunze insh
2026-08-22 22:06:51
2
saeedramadhani
SAEED RAMADHANI :
wallah mtu apinge kwa kibri chake tu na chuki zake tu lakini dalili ziko wazi kabisa tena kwa vitabu kabisa
2026-08-22 22:08:45
2
hassanmuhammad3862
hassan mohammad :
Shukran
2026-08-23 04:49:25
0
1brahimu
ibrahimu :
Allah
2026-08-23 03:58:42
0
abuhydar14
abuhydar254 :
hapa ni moto, dalili kwenye vitabu. sikupayuka tu 🤣 tumerudishwa madrasa sote na humedi 🤣
2026-08-23 04:33:57
0
khalfein
waliyyulla990 :
swadakta iswam wape elimu kwa hekima adabu na dalili izo vibri zao hao kina humeid na chuki zao waachie wenywe
2026-08-23 04:55:54
0
user2296210947717
idd ramadhan Msumi :
Ahsante Sheikh Allah akulipe.
2026-08-23 04:16:53
0
abu.farhan721
Abu farhan :
جزاك الله خير
2026-08-23 04:39:53
0
ibnmasoud23
muhammadmasoud69 :
جزاك اللهُ
2026-08-22 20:43:38
0
early.motorsspares
Early motors&spares :
ewe mzungumzaji lete aqwaal za maimamu wanne wanasemaje kuhusu maulidi: imam Shafi رحمه الله imam Ahmad رحمه الله imam Maalik رحمه الله imam Abuu Hanifah رحمه الله
2026-08-23 04:10:05
0
saeedramadhani
SAEED RAMADHANI :
mashallah sheikh Eswam Allah akulipe kila lakheri,
2026-08-22 22:06:55
1
user9946938409815
Meenadelicious&tasty :
Mashaallah Allah akupe umri mrefu
2026-08-22 21:10:33
0
abdulrahimmakame7
Abdulrahim makame :
swadaktaa shukran
2026-08-22 20:54:12
0
shaaraanwalid1
## ALLY ##22 :
أطال الله عمرك يا شيخ عصام
2026-08-23 04:35:22
0
ramadhani.w.mkalagale
Timer Media :
فبهت الذي كفر. 😂😂😂
2026-08-23 03:21:54
0
1brahimu
ibrahimu :
Safi sana
2026-08-23 04:05:40
0
humble.lady21
[email protected] :
nasi yari swa fisha moyo zawale wale walio kua wakipi gana namakafir nayaleleta mukusaiko wamu sirim kukaa pamoja yalireta haman 🤲Alihamudulilah
2026-08-23 03:47:56
0
damusimai38
user4358689065476 :
Hichi ni kigogo cha twarikaa Allah akupe Umri mrefuuu ndugu yanguuu .....Wape vitu na dalili....lkn hawaoni kwasababu ya chukii na hasad na unafik ulovowajaa masalaffi
2026-08-23 04:03:13
1
To see more videos from user @esamkaawele2024, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About