@mumytriplez3:

mumy Triple Z
mumy Triple Z
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 21:07:28 GMT
56915
1734
59
540

Music

Download

Comments

user593238834541171
🦋❣️Niamh🩵🦋 :
kuna wangu tukigombana anakimbilia kwa mama yakee😂😂😂 nachoka mimi
2026-08-23 17:25:41
4
penny.ketty8
Penny Ketty :
nimempata lakini kikwazo dini
2026-08-23 12:30:42
5
mrs80798
Jacky g :
Ungesema ata Jana jaman duh nishaaribu uku mwanetu 😁😭
2026-08-23 09:12:23
5
user54160757951777
M kauthary :
Umenena
2026-08-23 10:44:27
1
mamakefatuma
Rahima Mohamed :
Ali wangu nampenda sana mwanaume ana sifa zote
2026-08-23 14:02:11
1
mssaraphina5
Ms sarah❤💕🥂 :
😭😭😭😭😭🙌acha nilie tu nasubiri fimbo ya mussa
2026-08-23 09:34:27
4
samira45501
samira🌺💖 girl :
alhamdulilah wangu yup hivyo icho ndo nachomshkur mungu Kwa kuniletea zawadi nisioitegemea na kwenu py ikawe kheri
2026-08-23 17:36:43
1
rey410416
rey :
nimempata lkn
2026-08-23 10:14:08
1
thuni.baby7gmail
زيثون بنت رجب🦋🇸🇦🥰🇰🇪 :
alhamdhulillah sijachelewa🤲 Allah akinijaalia inshallah nitaangalia mwenye vigezo kma hvi🥰
2026-08-23 16:00:02
2
ashaabdul339
Asha Abdul :
daaah nashukuru mungu kwa huyu wasasa anajua kujishusha jmn allah asante kwa hii zawad🤲🤲🤲🤲🤲
2026-08-23 17:44:39
1
emmy37791
Emmy :
inshaallah
2026-08-23 13:13:05
1
ney.cute871
ney cute🦋😍 :
mbona hamkusema mapema😅
2026-08-23 09:09:39
1
kautharyahya141
thary beauty :
ukweli mtupu jmn
2026-08-23 12:48:34
1
shahadi176
shahadi :
Pa kumpata ndo shida
2026-08-23 13:04:43
1
shufaa.mtana
user589@254🥰 :
nimempata ila dini zetu tofauti na hataki kuskia kuhusu ndoa..Yaani ana visababu vingi.. nifanyeje?
2026-08-23 16:38:52
1
shaymaa6261
shaymaa :
Alhamdulillah
2026-08-23 10:55:05
1
abby...73
💖abby carino 🌹🧚💞 :
nani kweli jamn😂😂😂
2026-08-23 14:38:04
1
habbibtyamishi
Habbibty Amishi💘💫 🦋 ❤️💍 :
Alhamdulilah 🤲wangu yupo hivyo 🥰🥰
2026-08-23 21:12:21
0
divahbae
Mweni Ally :
🤣🤣🤣🤣 nchekeee mieeee
2026-08-23 16:23:00
1
aggie.baby523
aggie baby :
kwel kabixa
2026-08-23 18:16:28
1
hashrayna
🦋Hashrynaa🦋💋 :
Aminaa
2026-08-23 18:05:26
0
daummy_henna
DA UMMY_henna🫶 :
sahihi kabisa
2026-08-23 17:59:19
1
habina498
Bina _12 :
ungesema mapema 😭😭
2026-08-23 16:44:45
1
To see more videos from user @mumytriplez3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About