Sheikh hii haipendezi katika dini, haya masuala wawachie vipindi vya redio na tv, mtu mzuri alikuwa nabii yussuf na alikuwa mweupe, mtume Muhammad s,a,w alikuwa mweupe jee yeye sio mzuri??? acha ubaguzi sheikh, Allah amesema tumekufanyieni makabila na mataifa na rangi ni kwa ajili ya kujuana tu...
2026-08-23 05:57:09
21
John mallya :
apana usiwape moyo😂😂
2026-08-24 15:07:21
9
JUSTINE LIKWELILE :
shekhe Bafana level yako ni ya juu sana katika upeo wa kufikili,Mungu akubariki sana shekhe wangu.
Jamani kwa upande wangu nilivyo muelewa tusijichubue kwa mana kwamba tujiamini kwa kile ambacho Allah ametujalie kidogo kikubwa sema alhamndullah kila mmoja mana Allah katuumba kwa umbo lililo zur suratul Tin
2026-08-24 18:23:02
3
jay :
mung ND anajua
2026-08-24 16:43:20
1
Aisha mkini🦋🦋🌹 :
kweli shekh kabisa mashaallah
2026-08-24 09:59:41
2
نذرا 🫂💍❤️ :
Exactly 💯 🥰
2026-08-23 06:28:22
6
قلبي 🫀🧕 :
Wallah tena 🥰
2026-08-24 09:51:46
1
sauda Agarwal :
Alhamdulillah
2026-08-24 08:46:30
1
Sudeis :
walahi niukweli
2026-08-23 09:36:11
4
Asia🍒 :
𝗔𝗹𝗵𝗮𝗺𝘂𝗱𝘂𝗹𝗶𝗹𝗹𝗮𝗵 𝗻𝗮𝗿𝗶𝘇𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶𝘆𝗮𝗻𝗴𝘂 🤲🤲🤲🤲
2026-08-23 18:01:58
3
princess 💓 faima :
🥰🥰 mashallah
2026-08-23 07:27:13
2
Sweet daus ❤️🧚♀️🫀 :
❤️❤️shekh wanajuah ila wanajizima data😅😅
2026-08-24 05:29:06
2
@iam_ness🥂💦🐾🐾 :
shekhe kabaluzaaaaa🥰🥰🥰🥰
2026-08-24 17:49:41
1
muhamadkileo :
is me
2026-08-23 23:46:29
1
To see more videos from user @shukuru_bin_salum, please go to the Tikwm
homepage.