@bungelawananchitz:

bungelawananchi
bungelawananchi
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 22 August 2026 21:33:33 GMT
16679
415
52
32

Music

Download

Comments

user6594018617143
user6594018617143 :
tiktok is the best place to express your emotions, take perfect track kwanza sauti yako deal acha kuipoteza talents uliyonayo
2026-08-23 08:40:34
0
godfreywakaz
Godfrey Wakaz :
Blackmail
2026-08-22 23:53:35
0
salamashewedi1
user45348807668356 Shesally :
Hongera
2026-08-23 08:56:53
0
benedicta.magantg
Mwana :
Pole sana. You have played your part. Indeed!
2026-08-23 03:42:26
0
masanjakasema
MASANJA KASEMA :
hali hii ni mbaya sana .hakuna kiongozi aliyekemea . nakama hakuna kiongozi aliyekemea inamaana hawa wenye matukio haya walishapangwa wanatekeleza
2026-08-23 03:56:23
3
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-23 06:02:55
2
gasparkisinza
GASPER KISINZA :
NEEMA ZA MUNGU ZIMEKUPONYA NA KUKUOKOA
2026-08-23 07:16:04
1
boscotheodory2
boscotheodory2 :
pole sana kaka
2026-08-23 08:58:18
0
violetmmasi
violetmmasi :
OMBA REHEMA MAANA SIASA NI MCHEZO MCHAFU MBELE ZA MUNGU YANAYOENDELEA NI SIRI MUNGU AONAYE YALIYO SIRINI AREHEMU TAIFA LETU 🙏🙏🙏
2026-08-23 04:45:40
1
user3685297740491
Erick :
sasa Mzee umesema unajihuzulu siasa alafuunasema tena utaendelea kua kada wa chama Cha mapinduzi
2026-08-23 02:43:50
2
kcalone5
Kc alone :
R I P
2026-08-23 07:02:17
0
veno7925
venoo :
kwani hawa watekaji ccm na mapolisi ccm wanasemaje .
2026-08-23 08:55:32
0
aroneymar.jr2
aroneymar jr :
Pole xna mzee ccm hii xio ile ccm hii ni ya uchawa hamna kitu
2026-08-23 08:06:55
0
jovincom
jovin com :
karbu chadema
2026-08-23 07:41:37
0
pwelamikoy766
pwelamikoy :
Waliokusapot vp uliowatetea
2026-08-23 07:55:27
0
alisa.kurwa
Alisa kurwa :
kama umeacha mapambano rudishamchango wangu
2026-08-23 04:22:27
0
sapianusbuchambon
Sapianus Buchambona :
Usiogope maana Mungu yupo upande wako. Ungana nawatu wenye mtazamo kama wako bila kujali chama bali uzalendo.
2026-08-23 07:31:32
0
godfreywakaz
Godfrey Wakaz :
Nobody is safe everywhere mzee hata huko kwenye Habari sio Salama watakufikia tu
2026-08-22 23:55:23
2
user9757558705663
peoples favourite :
mungu pekee ndio muamuzi Amin
2026-08-23 04:19:27
0
tom.sancala
Tom Sancala :
waambie wanzio Wana ccm wenzio
2026-08-23 09:14:43
0
edi53386
Edi :
mbona hata huyo ambaye alikuwa anamsemeya hatukusikiya kauli yoyote
2026-08-23 05:36:50
0
abdallahkihanga32
Abdallah Kihanga :
Pole sana
2026-08-23 06:16:51
0
sharifa.seifu
SULEIMAN R,4 :
Umeumamliza mwendo baba CCM of mzika salam
2026-08-23 07:00:14
0
eliakalinga
Elia Kalinga :
Pole ndugu huko hakufai hukushtuka mapema wenzio hatujihusishi kabisa na siasa wala kuwa sehemu ya maumivu kwa watu
2026-08-23 07:36:54
0
To see more videos from user @bungelawananchitz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About