@babyzuchuplatnumz: #zuchu #manyoyamusic

DIAMOND PLATNUMZ⛎
DIAMOND PLATNUMZ⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 22:03:31 GMT
281742
22555
850
462

Music

Download

Comments

witness.uisso
witness uisso :
Tulioona Jumapili asubuh tujuane
2026-08-23 03:47:41
1399
emymoh89
emymoh :
raha ya kukutana na ex wako uwe umependeza 😂😂😂😂
2026-08-22 23:18:44
644
koku4548
Rose ❤️ :
Anamuona Kama krish 😂
2026-08-23 04:37:35
219
baby.girl.23395
Baby girl 233💕 :
Hapo anasema kimoyo moyo yaani mm ndo nilitoka na huyu ilikuwaje 😂😂😂
2026-08-23 08:03:17
65
whiteminnah
minnah white♥️ :
Yan Mimi na x wangu ni maadui tukikutana2 mitusi😆😆
2026-08-23 07:09:33
27
sharuxy
ma mmoja bazenga🥰💖 :
tunaoangalia jumapl usiku tujuane
2026-08-23 13:28:15
18
totooshingo1
Totoo trice :
Tunaoitazama jumapili kwa WiFi za bure tujuane kweny like
2026-08-23 06:23:53
478
emmanueldaimon14
Baba fey 🙏🙏🙏🙏 :
thenks god for another new day,🙏🙏🙏🙏
2026-08-23 05:07:16
1
kidoatz
kidoatz🌸🦋✨ :
Pacha angu uwoya hana baya 😂🥰❤️
2026-08-23 05:20:57
8
ummy3914
ummy💫💫 :
tunaotazama jumapil sa4 like hapa
2026-08-23 07:01:13
51
pallangyo421
pallangyo421 :
Tuliopo online saizi tujuane 😁
2026-08-23 00:45:55
466
ismail.kitutu
Ismail Kitutu :
Shoo ya jackline worpa na harmonize lin
2026-08-23 07:10:27
1
mahmzurii
🥷 Aiem Balqees💦💦 :
😂😂 Aghaaaaaaaa! 😁😁😁😁
2026-08-23 10:20:13
0
zenuu.stationary
Zenuu Stationary :
yani kunamda nikikutana na x wng najiulizaga nilimpendeaga nini
2026-08-23 00:45:40
312
didy_poah
Didÿÿ🗣 :
Nina Ndoa Moja tu…Ya marehemu Ndikumana Kanisani Katoliki St peter😂Maneno hayo alisikika akiongea Dada mmoja hapo jukwaani😂🙏🏾
2026-08-23 09:09:07
38
aiemlynett
🧸🎀🌸lynett🦋🖇️💕 :
wa jumapili mchana tujuanee😂😂
2026-08-23 13:27:43
14
selinaelinathan
Mrs Isihaka🧑‍❤️‍🧑🥰 :
Me na ex wangu tunaogopana, mbaya zaid marafik zake ndo marafki zangu, siku akikaa nao me sionekan
2026-08-23 10:17:17
9
distarxhgwu5f
DiStarX🌟 :
jamni wenzetu mnawezaje mm na ex wangu nikama Irani na Israel atakae zubaa barapanda Italia kwao🤣🤣
2026-08-23 07:15:27
8
justicemgeta669
JUSTICE :
irene wala hayuko comfortable
2026-08-23 05:13:34
61
aneth.christian6
Anne :
Si waludiane yaishe😂
2026-08-23 08:42:57
7
bernah006
Detta❤️ :
Hapo anasema Uwii mm ndo nilitoka na haka 🤣🤣
2026-08-23 10:05:18
5
lucyrobart3
lucy roby :
😂😂😂😂😂😂unajua janja bd anmpnda irine sanaa🥰
2026-08-23 03:59:20
57
To see more videos from user @babyzuchuplatnumz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About